N'GONO KANTE => NGOLO KANTERay amemshindwa kucheza mipira anayocheza N'GONO KANTE, yani valentina anamsumbua kichwa ray, unajua ray ana hela ila hana sera critical za kumng'oa valee, amebaki valee nakuona nakuonaaa teh teh teh
Wanajuana waleRay amemshindwa kucheza mipira anayocheza N'GONO KANTE, yani valentina anamsumbua kichwa ray, unajua ray ana hela ila hana sera critical za kumng'oa valee, amebaki valee nakuona nakuonaaa teh teh teh
Ahsante sanaSafi sana, unafaa sana
Mchapio wa mwakaN'GONO KANTE => NGOLO KANTE
That's true
Unampa hofu mume wakeNdiyo kazi ya utumishi kuto kudanganya![]()
HahahahaN'GONO KANTE => NGOLO KANTE
Sio aitupie kule KitongaMwisho akichoka ataingiza kwenye mashimo ili cheses ivunjike apumzike
Usisahau kuniarifu siku mapemaNitakuja na mama mchungaji
Sawa mkuu tuwe wavumilivu maana dereva huyu anasahau hata gia anayo tumiaTumemwachiaaa
Nitafurahi kukuona mtumishi, usisahau kumpitia dada yangu sakayoUsisahau kuniarifu siku mapema
Itakuwa wanataka kuimarisha kule mbele maana tayari CR7 imeshakuwa saa 11 jioniMbona hazard nae huwa hakabi?
Kweli kabisa anaweza kufa kwa hofu![]()
Kuishi kinafiki ....
...