Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Binafsi nakubaliana na wanaounga mkono Mesut Ozil kuondoka..... Ila pia binafsi naunga mkono wanaokubaliana na Alexis Sanchez kuongeza mkataba pale arsenal...... Ila nipo 50/50 na wanaomtaka babu Wenger abaki na wanaomtaka mzee Arsen atoke pale arsenal......Sanchez na Ozil wanapoteza muda tu pale japo wapo fainali FA lakini babu Wenger atafanya upuuzi wake km kawa na vitoto chake na TO 4 kuingia kazi wanayo na wanaweza shika # 4 na wasicheze Champions League iwapo Man Utd atachukua Europa
.......
