BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Sure![]()
Neno kubwa la faraja
....
Sure![]()
Neno kubwa la faraja
....
Hapo sawa mkuu japo bado wanachangamoto katika maeneo mengi kwa sasa hata beki ya kati hawana mbadala wa Ramos na pepe wote wakiwa majeruhi wanapata shida sanaItakuwa wanataka kuimarisha kule mbele maana tayari CR7 imeshakuwa saa 11 jioni
kipindi ambacho arsenal anafanya invisible ilikua mwaka 2004 kipindi ambacho ligi ya uingereza ilikua on fire balaa, hakuna timu yyte ilikua inaombea ikutane na timu toka uingereza, baada ya hapo ndio wakaibuka wafanya biashara na kuanza kumwaga pesa hovyo hovyo na hapo ndio kikaanzia kifo cha ligi ya uingereza,Wenger tena!
Kwani msimu ule anacheza mechi 49 bila ya kafungwa aliweza nini na sasa anashindwa nini?
Ni km mtu kuishi na mpenzi ambaye kutwa anakuweka roho juuKweli kabisa anaweza kufa kwa hofu
Usiogope kuw. Na pua mbaya ukadhani za wenzio ni real siku hizi kuna fake nywele,fake pua,fake kucha,fake sura hata maeneo mengine siwezi ya taja ,bora uridhike na yako lakini halisi,hata maisha ni vizuri kuishi maisha yako sio ya mngine![]()
Ridhika ulivyoumbwa
.....

Katika sehemu ninazo ogopa ni kitonga na njia ya kwenda songea kuna sehemu inaitwa lukumbulu sijui kama nimepatia jina lakeSio aitupie kule Kitonga
Nona sana aiseeUsiogope kuw. Na puq mbqya ukadhani za wenzio ni real siku hizi junq fake nywele,fake pua,fake kucha,fake sura hata maeneo mengine siwezi ya taja ,bora uridhike na yako lakini halisi,hata maisha ni vizuri kuishi maisha yako sio ya mngine![]()
Sahihi Lukumbulu miaka ya nyuma kuna mhindi alimuua mke ili apate bima akaweka mwili ktk gari akasukumiza kule korongoni alikua amemuwekea bima ya maisha,baadae hila zake zilijulikanaKatika sehemu ninazo ogopa ni kitonga na njia ya kwenda songea kuna sehemu inaitwa lukumbulu sijui kama nimepatia jina lake
Kweli mkuukipindi ambacho arsenal anafanya invisible ilikua mwaka 2004 kipindi ambacho ligi ya uingereza ilikua on fire balaa, hakuna timu yyte ilikua inaombea ikutane na timu toka uingereza, baada ya hapo ndio wakaibuka wafanya biashara na kuanza kumwaga pesa hovyo hovyo na hapo ndio kikaanzia kifo cha ligi ya uingereza,
kitu kinachommaliza wenger ni kutokusoma alama za nyakati, zile enzi za wachezaji kucheza kwajili ya jezi na nembo za timu hakipo tena, wanachowaza wao ni hela tu, lakini bado wenger ana amini kuwa kuna akina viera, Bergkamp katika soka la sasa na bado ana amini ipo siku atawapata, hataki kubadilika kulingana na mazingira
Huyo mhindi mbona alikuwa katili kiasi hicho?Sahihi Lukumbulu miaka ya nyuma kuna mhindi alimuua mke ili apate bima akaweka mwili ktk gari akasukumiza kule korongoni alikua amemuwekea bima ya maisha,baadae hila zake zilijulikana
Sana utabeba mangapi,relax live your life![]()
Vitu vidogodogo ni vya kupuuza tu
...
Kwa mapenzi ya dunia ya leo no,thanks Mungu anatupenda zaidi ya chochote hawezi kukutelekeza hata siku mojaNi km mtu kuishi na mpenzi ambaye kutwa anakuweka roho juu
....
Sanchez na Ozil wanapoteza muda tu pale japo wapo fainali FA lakini babu Wenger atafanya upuuzi wake km kawa na vitoto chake na TO 4 kuingia kazi wanayo na wanaweza shika # 4 na wasicheze Champions League iwapo Man Utd atachukua Europakipindi ambacho arsenal anafanya invisible ilikua mwaka 2004 kipindi ambacho ligi ya uingereza ilikua on fire balaa, hakuna timu yyte ilikua inaombea ikutane na timu toka uingereza, baada ya hapo ndio wakaibuka wafanya biashara na kuanza kumwaga pesa hovyo hovyo na hapo ndio kikaanzia kifo cha ligi ya uingereza,
kitu kinachommaliza wenger ni kutokusoma alama za nyakati, zile enzi za wachezaji kucheza kwajili ya jezi na nembo za timu hakipo tena, wanachowaza wao ni hela tu, lakini bado wenger ana amini kuwa kuna akina viera, Bergkamp katika soka la sasa na bado ana amini ipo siku atawapata, hataki kubadilika kulingana na mazingira
Kwa zjili ya PESA ...MONEY...FARANGA...MAFWANYA....HELA Wakati huo hata bima kwetu ilikua jambo geni nasikia aliua wake wawili imagineHuyo mhindi mbona alikuwa katili kiasi hicho?

Very true kinamulka kila mahali![]()
Neno la mwisho
.
......
Sure![]()
Changamoto haziepukiki
Ingekuwa vipi km ....
......
Zinatisha sana hizi sehemuKatika sehemu ninazo ogopa ni kitonga na njia ya kwenda songea kuna sehemu inaitwa lukumbulu sijui kama nimepatia jina lake