Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,836
Pamoja sana mkuu
Ndo umejua
Nasikia bado ipo sijui ina miaka 100
![]()
Haka kaziwa labda kana futi 6 tu
![]()
![]()
![]()
.......
kaziwa kama kabwawaPamoja sana mkuu
Ndo umejua
Nasikia bado ipo sijui ina miaka 100
![]()
Haka kaziwa labda kana futi 6 tu
![]()
![]()
![]()
.......
kaziwa kama kabwawaSwali zuri sanaAsante mvuvi wa kambale
Ziwa mabibo vip![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hata za Ziwa Nyasa nilikuwaga azo ila zilipoteaAsante kwa picha kutoka katika mkono wako mwenyewe!
AsenoAende EPL

mukongo shikamooAseno![]()
Atafaa tuAseno![]()
Huku hatuna utaratibu wa kuhesabiwa kama wachaga

Dadii akee shikamooDuuuuuh
Poa aganzaMambo zenu
shemela wangu mm shikamooHahahaaaaaaa
Shemela niaje, hata kunipa pongezi hamna,mukongo shikamoo
Sosa-SassoHapana mpaka sasa nimefuga aina tatu tu wa kienyeji (Kuchi na chotara)
Hawa wa kisasa ninafuga broilers na chotara aina ya Sosa
Mama mchuchu shikamoo jamaan mzima lknMungu na uumbaji wake![]()
Hivi ni ziwa hili ndio kuna jiwe la ajabu au nitakua nimechanganya6/Lake Malawi![]()
Linazitenganisha Tanzania na Malawi huko Kyela Mbeya
Ukiwa upande wa Tanzania linaitwa Ziwa Nyasa halafu ukiwa Malawi linaitwa Ziwa Malawi
Ndio ziwa lenye samaki wa aina nyingi kuliko yote duniani...sasa usishangae kwanini linagombewa!!!
Nimebahatika kufika Ngonga na Matema Beach na kugundua lina mchanga wa punje kubwakubwa ambao unaunguza wakati wa juakali
Safu za Milima ya Livingstone zinaanzia/ishia huko
Lina kina cha mita 706
Umewahi kula usipa?
Wanapatikana huko...kwanini Wanyaki wasinenepe
........
Yeah! Ndio muda wao wa kwenda big teamsKuna dogo mmoja hivi yupo Monaco someone Silva anaichezesha vizuri sana Monaco
tuwekee picha full tukuone mondray nn kuweka nusuHabari za jioni wakuuu
Hope nyote mko bomba
Sitaki kuamini kua ktk text 300+ Valentina hakuniulizia au mrembo yoyote hakuniulizia...