Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,420
Hula nyama mbichiKipenda roho
Hula nyama mbichiKipenda roho
Zuri!!!10/Lake Matano![]()
Linajulikana pia km Ziwa Matana
Linapatikana huko nchini Indonrsia
Lina kinschenye urefu wa mita 590
.......
Samaki wake ni watamu sana,nakumbuka mbasa toka lake Nyasa kama sijakosea nawapenda sana6/Lake Malawi![]()
Linazitenganisha Tanzania na Malawi huko Kyela Mbeya
Ukiwa upande wa Tanzania linaitwa Ziwa Nyasa halafu ukiwa Malawi linaitwa Ziwa Malawi
Ndio ziwa lenye samaki wa aina nyingi kuliko yote duniani...sasa usishangae kwanini linagombewa!!!
Nimebahatika kufika Ngonga na Matema Beach na kugundua lina mchanga wa punje kubwakubwa ambao unaunguza wakati wa juakali
Safu za Milima ya Livingstone zinaanzia/ishia huko
Lina kina cha mita 706
Umewahi kula usipa?
Wanapatikana huko...kwanini Wanyaki wasinenepe
........
Za kupoteaHula nyama mbichi
Fafanua kidogo mkuuInawezekana ni maji tibapia
Amini tu,tunakupenda na tunakuombeaHabari za jioni wakuuu
Hope nyote mko bomba
Sitaki kuamini kua ktk text 300+ Valentina hakuniulizia au mrembo yoyote hakuniulizia...
Linatisha7/Issyk Kul![]()
Linapatikana huko Kryrgystan
Linaitwa hivyo likiwa linamaainisha "Ziwa Moto/Hot Lake" maana maji yake kamwe hayagandi
Lina kina cha mita 668
.......
Hata pori la Mlimani City nisingekatiza pale mataa Big StarDah!!! Kweli asee, huyo mdudu angekuwa na mbawa Mbona tungekoma!!!
mie nimejimiss mwenyewe zaidimiss u zaidi mama mchuchu wangu ubarikiwe sana na ww

I wish nifike huko one day6/Lake Malawi![]()
Linazitenganisha Tanzania na Malawi huko Kyela Mbeya
Ukiwa upande wa Tanzania linaitwa Ziwa Nyasa halafu ukiwa Malawi linaitwa Ziwa Malawi
Ndio ziwa lenye samaki wa aina nyingi kuliko yote duniani...sasa usishangae kwanini linagombewa!!!
Nimebahatika kufika Ngonga na Matema Beach na kugundua lina mchanga wa punje kubwakubwa ambao unaunguza wakati wa juakali
Safu za Milima ya Livingstone zinaanzia/ishia huko
Lina kina cha mita 706
Umewahi kula usipa?
Wanapatikana huko...kwanini Wanyaki wasinenepe
........

hahahhh hongera sanamie nimejimiss mwenyewe zaidi![]()
![]()
![]()
sijawahi kuwa impressed na ligi ya uingereza, kinachofanya ionekane ni ngumu ni sababu timu zote zinakiwango sawa.Yeye mwenyewe kakiri EPL ni ngumu sana
poa mkuu, habari za mida???Aya sasa mambo vipi wadau
Hongera picha zinamuonekano mzuri sanasana kazi yako ni njema,2/Lake Tanganyika![]()
![]()
![]()
(picha nimezipiga mwenyewe wakati nikiwa Kigoma)
Ndio ziwa lenye kina kirefu zaidi barani Afrika
Kwa sehwmu kubwa linatenganisha nchi za DRC na Tanzania
Nafikiri kila mtu kawahi kula dagaa wa Kigoma
Lina mchanga laini
Lina kina cha mita 1470
........
Dah!!! Maajabu3/Caspian Sea![]()
Ndio ziwa kubwa zaidi duniani
Linapatikana kati ya nchi za Urusi,Kazakhstan. Azerbaijan,Turkmenistan na Iran
Watu wa kale walifikiri ni bahari sababu lina majichumvi
Lina kina cha mita 1025
........
maana hakuna anayenimiss naona mnamissiana wenyewe kwa wenyewe acha na mie nijimiss tu maana hakuna namnahahahhh hongera sana

Binadamu muko na muneno!!!
Halafu hawana chkumvi kabisaSamaki wake ni watamu sana,nakumbuka mbasa toka lake Nyasa kama sijakosea nawapenda sana

Asante sana Mkuu Bitoz nimejifunza mengi leo,vipi lile lake ngozi kule Tukuyu halipo kwenye records nasikia kuna wageni walijribu kupima kina wakapotea sina details sanaa1/Lake Baikal![]()
Ndio pia ziwa kubwa zaidi la majibaridi duniani
Linapatikaba huko milimani Urusi katika jimbo la Siberia karibu na mpaka wa Mongolia
Lina kina cha mita 1642
Ahsanteni kwa nami
Mwisho
...........