Dagaa wa kigoma watamujee2/Lake Tanganyika
(picha nimezipiga mwenyewe wakati nikiwa Kigoma)
Ndio ziwa lenye kina kirefu zaidi barani Afrika
Kwa sehwmu kubwa linatenganisha nchi za DRC na Tanzania
Nafikiri kila mtu kawahi kula dagaa wa Kigoma
Lina mchanga laini
Lina kina cha mita 1470
........
Asante Bitoz ubarikiwe1/Lake Baikal
Ndio pia ziwa kubwa zaidi la majibaridi duniani
Linapatikaba huko milimani Urusi katika jimbo la Siberia karibu na mpaka wa Mongolia
Lina kina cha mita 1642
Ahsanteni kwa nami
Mwisho
...........
Marahabaa shemela wa mimishemela wangu mm shikamoo
Pole yake
hahahhh hongera shemela na mm unipe pongezi bas ya man uShemela niaje, hata kunipa pongezi hamna,
Maana mtani wako jana nimemlarua
baba paroko shikamooShunie hujambo
Nani anabutua???.....wachezaji wake au wa timu pinzani?kinacho mpa ugumu pep ni butua butua ya ligi ya uingereza, ukienda epl kwa lengo la kucheza mpira safi lazima uumie, angalia wenger na klopp wanavopata tabu nao
huko poa lkn shemelaMarahabaa shemela wa mimi
Kiukweli nikiwa makenika kwenye hili Lori naendelea vyemaaa
Hiyo ishu sihawahi kuisikiaHivi ni ziwa hili ndio kuna jiwe la ajabu au nitakua nimechanganya
Hongera sana, nilionahahahhh hongera shemela na mm unipe pongezi bas ya man u
jana niliangalia mpira wa barcelona na real madrid yule messi jamaan mm ni team ronaldo acha nimpe pongezi messi midevu dk ya 92 mpira uishe kafunga la 3
Niko poa shemela wanguhuko poa lkn shemela
Mzee wa kasai
Kuna uzi unaitwa "tushirikishane apps nzuri za android" upo jukwaa la techSamahanini mi ni mpenzi wa tamthilia za kifilipino naombeni mnisaidie nawezaje kuzidownload mtandaoni
Santee shemelaHongera sana, niliona
Ray amemshindwa kucheza mipira anayocheza N'GOLO KANTE, yani valentina anamsumbua kichwa ray, unajua ray ana hela ila hana sera critical za kumng'oa valee, amebaki valee nakuona nakuonaaa teh teh teh
Marahaba dear mzima nakumisije we mpendwa wangu ,upo?ubarikiweMama mchuchu shikamoo jamaan mzima lkn
nimeingia jioni hiii tu shemela flue tu imenibanaNiko poa shemela wangu
Vp wewe, leo umeadimika sana