Makapuku Forum

Makapuku Forum

kinacho mpa ugumu pep ni butua butua ya ligi ya uingereza, ukienda epl kwa lengo la kucheza mpira safi lazima uumie, angalia wenger na klopp wanavopata tabu nao
Ligi ya epl sio mchezo, ila nitazidi kumpatia sifa nyingi mourinho kuwa bado ni kocha bora pamoja na matokeo mabaya anayoyapata kipindi hichi, maana ndiyo kocha nimeona amazunguka ligi mbalimbali na akichukua trophies big up kwake sana
 
Baba paroko mtu asiyependa kuchanganya sadaka na matumis yasiyo na umuhimu kama kuonga ... niko poaa shunie mzima kabisa Japo jana alichelewa kutoka parokian
Hahahahaha hapo kwenye rangi naomba aje atoe maelezo alipoenda, maana misa jana imeisha mapema na hata hakuja kunitembelea kupiga stori kama ilivyo siku zote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom