Makapuku Forum

Makapuku Forum

Baba paroko kuwa siliasi mbona anadai mlikuwa na kikao baada ya misa [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Teh teh teh ngoja aje tutamuuliza kama hajapata kigugumizi, ila banah mimi huwa nashauri kwenye kujenga ndoa kuwa imara yani mkitaka ndoa inoge na mapenzi yawe motomoto ni pale baba na mama kuongozana kuja kanisani pamoja siku zote za maisha yenu basi mapenzi hapo yanakuwa on fire
 
Jana nilikuwa na kihoma Baba paroko ...nisamehe na kihaya alikuja anadai kachokaa
 
Ebhuu paroko ..hujanioneaa huyuu valeee [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Akizipata kwa Ray hanisahau
Ray amemshindwa kucheza mipira anayocheza N'GOLO KANTE, yani valentina anamsumbua kichwa ray, unajua ray ana hela ila hana sera critical za kumng'oa valee, amebaki valee nakuona nakuonaaa teh teh teh
 
Back
Top Bottom