Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,981
Salama sana chief, vipi wewe na familia mpo pouwa? Mama watoto ajambo yupo jikoni ananiwekea chakula kidogo nipate kula.Amen baba paroko
Na kwako pia
Mama paroko yuko wapi
Salama sana chief, vipi wewe na familia mpo pouwa? Mama watoto ajambo yupo jikoni ananiwekea chakula kidogo nipate kula.Amen baba paroko
Na kwako pia
Mama paroko yuko wapi
Bila shaka mtumishiMilele amina mtumishi wa Mungu, nitakuona siku moja kwa chief pastor mtalemwa, itakua faraja sana mtumishi.
Tatizo anaweza kufika Madrid mfumo ukamkata akaonekana ni kimeo kwa pale Madrid wanatakiwa wapate kiungo alie zoea misukosuko kama hao nilio kutajiaKuna dogo mmoja hivi yupo Monaco someone Silva anaichezesha vizuri sana Monaco
Kivipi mama mchungaji?Hahahaha huwa unanifurahisha sana Nyagei
Karibu sanaNikija nitakutafuta kaka asante sana![]()
Hao ni wa kienyeji so unawafuga kawaida tu wanachukua 6 months mpaka 7 kwa JogooSawa mkuu maana nawasikia hawa kuku wanauzwa bei kubwa kweli na hao kuchi unawafuga mda gan
Familia haijambo kabisa inaendelea vyemaSalama sana chief, vipi wewe na familia mpo pouwa? Mama watoto ajambo yupo jikoni ananiwekea chakula kidogo nipate kula.
Ahsante mkuu, nimeshapata majibu humu humu kwa wadauKaribu kwa swali
Kwa huo umri wanakuwa na kilo ngapi?Hao ni wa kienyeji so unawafuga kawaida tu wanachukua 6 months mpaka 7 kwa Jogoo
Na 5 months kwa tetea
Chief habari za kwako, ila EPL si mahala pakufanya majaribio, ukitka kujua ugumu wa ligi ya EPL muangalie PEPE GURDIOLAR anavyo banwa pumzi,Aende EPL
Anakaangiza vizuri hapa nipo sebuleni napata harufu nzuri toka jikoni, karibu nyumbani siku ukipita nafasiFamilia haijambo kabisa inaendelea vyema
Msalimie mama paroko
Atakuwa sawa na Modric pale katikatiTatizo anaweza kufika Madrid mfumo ukamkata akaonekana ni kimeo kwa pale Madrid wanatakiwa wapate kiungo alie zoea misukosuko kama hao nilio kutajia
Kabisa chief, hofu huko kwenuAsante mkuu mzima huko uliko?
Naona leo mkuu umetutembeleaa ...karibuLol, umeshanijibu nilichotaka kumuuliza![]()
![]()
![]()
Pole yakeHuyo ni liver
Praise the Lord kwa afya njema aliyotupa sisi sote humu, penda sana wewe na wote humu ndani,Bila shaka mtumishi
Sawa mkuu tusubiri usajili tuone zidane atafanyeje usajiliAtakuwa sawa na Modric pale katikati
Huku kwetu kwema kabisaKabisa chief, hofu huko kwenu
kinacho mpa ugumu pep ni butua butua ya ligi ya uingereza, ukienda epl kwa lengo la kucheza mpira safi lazima uumie, angalia wenger na klopp wanavopata tabu naoChief habari za kwako, ila EPL si mahala pakufanya majaribio, ukitka kujua ugumu wa ligi ya EPL muangalie PEPE GURDIOLAR anavyo banwa pumzi,
Chief habari za kwako, ila EPL si mahala pakufanya majaribio, ukitka kujua ugumu wa ligi ya EPL muangalie PEPE GURDIOLAR anavyo banwa pumzi,
