Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Kweli maana naona benzema kachoka na morata ndo benchi imemwandama japo naona Madrid wanahitaji kuongeza kusajili viungoAnafaa Madrid pale kwa counter attack
Kweli maana naona benzema kachoka na morata ndo benchi imemwandama japo naona Madrid wanahitaji kuongeza kusajili viungoAnafaa Madrid pale kwa counter attack
Asante kwa kukumbuka kwenu maana kuna watu wanasahau hadi kwaoMda mrefu ila naenda kila mwaka mara mbili,nyumba za milele za wazazi wangu wote wawili zipo Mbeya
Bonge la point..Kweli maana naona benzema kachoka na morata ndo benchi imemwandama japo naona Madrid wanahitaji kuongeza kusajili viungo
Asante mkuu nitakaribia nikijihakikishia makazi mjini utanisaidia namna ya kufuga kuku wa kienyeji kwa faida zaidiKaribu mjini
Asante mkuu tumshukuru atupae pumziWa afya tele
AmenAmen Asante tunamshukuru Mungu kwa yote
PamojaBonge la point..
......
samahani naomba kukuulizaAmen Asante tunamshukuru Mungu kwa yote
I'm good Madam.....Amen.....have a blessed n wonderful week too dearGoodmorning sir ,you good?Have q wonderful and Blessed week ahead![]()
Panandi kaka Mwaghona?

Hapa hayupo.....hapa hayupoNamtafuta mume wanguuu namtafuta mume wangu...
Kwangu mimi ndiye mwanasoka bora kuwahi kumshuhudia.Simpendi Messi lakini macho hayana pazia jana kupiga mwingi na refa km angekuwa fair basi angesababisha RED 3(Ramos.Marcelo na Casemiro)![]()
.....
Nami nimekumiss pia![]()
![]()
![]()

Kanifuta => Kanifuata
.....FF.Kaenda wapiii kaenda wapi...Hapa hayupo.....hapa hayupo
Anapigwa mkeka na Dany Rose![]()
![]()
Simuonagi
Labda msugua benchi tu
....
Tumempeleka Israel akasomee ujasusiAsante dikteta, katibu wetu wa weka picha alipotelea wapi?
Pamoja.Poa kamanda
Tukutane jioni/usiku kwenye Top Ten
Siku njema
.....
Huyu Dogo ni mashine kweli au ni msimu umemkubali tu???Siku hizi kuna shida mpya inaitwa Mbape ipo Monaco