Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Namtakia safari njema

Namtakia safari njema

Sawa afandeMsisahau kuanzia sasa
AminaAmen Asante tunamshukuru Mungu kwa yote
Pointunajuwa uwongozi ni kipaji mola akuteuwe maana kungoza watu kunahitaji mkono wa mungu na bahati mbaya huyu mwenzetu hajajaliwa na ndo kosa walofanya na nahisi kuna watu humo humo wanajutia ,
Ujuwe hakuna kitu kibaya ukawa na adui ndani ,wakat unahangaika kupambana na adui wa nje unakuja kugundua kumbe huyu wa ndani ndo m'baya zaidi kulikoni yule wa nje na unapolikundua hilo kipindi hicho huna nguvu tena za kupambana na huyu wa ndani maana nguvu nyingi uliwekeza kwa adui wa nje ,
Ndicho kilicho tokea chama cha.....
Kweli kiungo anahitajika yule Kroos amekuwa mvivu kwenye ukabajiKweli maana naona benzema kachoka na morata ndo benchi imemwandama japo naona Madrid wanahitaji kuongeza kusajili viungo
Ondoa shaka mkuuAsante mkuu nitakaribia nikijihakikishia makazi mjini utanisaidia namna ya kufuga kuku wa kienyeji kwa faida zaidi
AmenAsante mkuu tumshukuru atupae pumzi

Kwangu mimi ndiye mwanasoka bora kuwahi kumshuhudia.
Kuna Messi mmoja tu Duniani.

Wanatakiwa wapate kiungo kama ngoro Kate, au VidalKweli kiungo anahitajika yule Kroos amekuwa mvivu kwenye ukabaji
Ameacha vinasaba huku.....FF.
Nimeanza kumfuatilia msimu huu ila naona anachokifanyaHuyu Dogo ni mashine kweli au ni msimu umemkubali tu???
Ulitaka ugombee jimbo nini?Lol, umeshanijibu nilichotaka kumuuliza![]()
![]()
![]()

Shukran kwa masahihishoPoint
Rekebisha makosa kwenye uandishi
Pamoja mkuu ila kuna kuku wanaitwa kenbow ila sina uhakika na hilo jina je umewahi kuwafugaOndoa shaka mkuu
Southampton au TottenhamEPL timu gani inamfaa?
Asante mkuuu173k 😱 😱 😱
Bado safari inaendeleaAsante nimefika huko mkuu
Sawa mkuuBado safari inaendelea
Asante sana,yote mipango ya Mungu,huwa tuna utaratibu wa kwenda nyumbani mara mbili kwa Mwaka wakati wowote tukiamua maana kuna mji hapo Mbeya na mashamba ,tunajihesabu tukifika,ndio pamekua nyumbani ......pole kwa kuwapoteza wazazi.....unaendaga kuhesabiwa???![]()