Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,512
- 40,611
[emoji23] na mshabiki wa Arsenal na R.M.?Wao wanasema ni bora kumshabikia barc kuliko Madrid na kisa wanasema Ronald katoka man
[emoji23] na mshabiki wa Arsenal na R.M.?Wao wanasema ni bora kumshabikia barc kuliko Madrid na kisa wanasema Ronald katoka man
samahani naomba kukuuliza
Lol, umeshanijibu nilichotaka kumuuliza[emoji85] [emoji85] [emoji85]I'm good Madam.....Amen.....have a blessed n wonderful week too dear
We ni wa arsenal?[emoji23] na mshabiki wa Arsenal na R.M.?
.....pole kwa kuwapoteza wazazi.....unaendaga kuhesabiwa???[emoji1]Mda mrefu ila naenda kila mwaka mara mbili,nyumba za milele za wazazi wangu wote wawili zipo Mbeya
[emoji1] ataenda aseno kama Jiru[emoji23]Kweli maana naona benzema kachoka na morata ndo benchi imemwandama japo naona Madrid wanahitaji kuongeza kusajili viungo
Kaenda kunyoa.....kenda kunyoaKaenda wapiii kaenda wapi...
Uliza tu mzee wa DotmondLol, umeshanijibu nilichotaka kumuuliza[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nope!We ni wa arsenal?
nilitaka nimuulize kama yeye ni ME au KE?Uliza tu mzee wa Dotmond
Hela kampa naanii hela kampa nani...Kaenda kunyoa.....kenda kunyoa
[emoji119] [emoji119] [emoji119]Tumempeleka Israel akasomee ujasusi
Aende EPLHuyu Dogo ni mashine kweli au ni msimu umemkubali tu???
Huyo ni liverWe ni wa arsenal?
EPL timu gani inamfaa?Aende EPL
Arsenal na Wenger wao na ubahili wataweza kweli[emoji1] ataenda aseno kama Jiru[emoji23]
Huku hatuna utaratibu wa kuhesabiwa kama wachaga.....pole kwa kuwapoteza wazazi.....unaendaga kuhesabiwa???[emoji1]
Sawa mkuuHuyo ni liver
Hongera kwa 173kNdaga ubhalamke bhosa uti kubhalamka
Asante nimefika huko mkuuHongera kwa 173k
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Msisahau kuanzia sasaKumbe we ndo afande wake ? Tulisahau