Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,927
Kiherehere sana kama mkuu wa wafungwa gerezaniBashite samtaimu anachekesha sana
Jamaa ni km Waziri asiye na wizara maalum
Madawa yeye
Filamu yeye
Kupokea wageni Airport yy
Uzinduzi wa miradi yy
Yaani full kiherehere
...
Wewe upoHamjambo hapa
Karibu sanaAmen Mama Mchu![]()
1987 - Jan Vertonghen anazaliwa.
Beki kisiki wa Ajax, Tottenham na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Lugha gani hiyo, au ni kindaliMama mchungaji gwalembuka?
Morning papaaGoodmorning the family
Rudisha Ile avatar yako ya zamaniAMINA
Ipi hyo jamanRudisha Ile avatar yako ya zamani
Nzuri mkuu, utata umeisha, maana ulikuwa na wasiwasi sanaHbr yako mkuu
Nipo ma dear nmejaa tele ww ndo huonekani ama twapishanaWewe upo
1993 - Ben Davies anazaliwa.
Beki wa kushoto wa Tottenham na timu ya taifa ya Wales.
Mtata sana huyu jamaa1962 - Stuart Pearce anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa England.
Mmoja kati ya mabeki wa shoka waliokuwa wanacheza kibabe enzi zake.
Aliwahi pia kuwa kocha wa Man city na Timu ya Taifa ya England chini ya miaka 21.
Id ilikuwa mpya,..siijui mkuu..! Sio ya humuAache Udwanzi!!!.....atakuwa hana couple
Hao jamaa sijui huwa wanapata nini kwenye vitaUSA wanafiki sana halafu baadaye wakaja kumuua Caddafi![]()
Wazee wa maslahi
....
Asante dikteta, katibu wetu wa weka picha alipotelea wapi?Leo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Mkuu thread hadi imefikia hapa ilipo imepitia changamoto
Poa kamandaLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.