Makapuku Forum

Akikujibu nisitue
 
Id ilikuwa mpya,..siijui mkuu..! Sio ya humu

Bad enough nilifuta pm yake kwa hasira..
Pole ila amini watu wengi huwa hawapendi wenzao wafurahi na ukiwapa nafasi utaumia naombq mwambie Sakayo a follow her heart please as long as wahusika wanakiri hakunz mtu aliyewakataza why worry,kama ingetokea kauli hii imetoka hapa sawa,msimhisi mtu msikilize mtu nitafurahi kama tutaendelea kuwa na amani na furaha kama mwanzo,matatizo huwa hayakimbiwi yanatatuliwa so kwa hapa lipo solved tuishi kwa amani na upendo I really miss Sakayo.

Mtata sana huyu jamaa
 
Mimi post yangu inahusiana na leo katika historia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…