shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Hahahaaaaaaa, EPL imepungua mvuto
Siku hizi EPL kumejaa akina Merteseker na John Stones(Jiwe linalobonyea km mkate)![]()
.....
Hahahaaaaaaa, EPL imepungua mvuto
Siku hizi EPL kumejaa akina Merteseker na John Stones(Jiwe linalobonyea km mkate)![]()
.....
Na wavuvi wa kambale kuna wakati huvua hata Nyoka
Tukutane jioni kwenye Top 10Asante sana kw picha za historia mku u Bitoz uwe na siku na werk njema ubarikiwe
Umeisahau?Ipi hyo jaman
Tunapishana naonaNipo ma dear nmejaa tele ww ndo huonekani ama twapishana
Mi aina wasiwasi ila niliona kama watu wanaingilia Uhuru wa wengneNzuri mkuu, utata umeisha, maana ulikuwa na wasiwasi sana
Hiyo kitu haipo kabisaMi aina wasiwasi ila niliona kama watu wanaingilia Uhuru wa wengne
Hatujambo hapaHamjambo hapa
Njema Mndali.....jina lako la piliTuko poa habr ya pande zako

Kindali mkuuLugha gani hiyo, au ni kindali
Kindali mkuu

Kinafiki kumbe walikuwa na plan yao2004 - Marekani yaiondolea vikwazo Libya baada ya miaka 18 na kurudisha mahusiano yao upya.
Limekutisha mkuu? Au gumu kulitamkaNjema Mndali.....jina lako la pili![]()
Baelezee....Mkuu hawa watu wawili ni wakati wao nao acha wajidai kwa mtu kumchukia mmoja wao ni kujichelewesha mambo yako
Merci ProfessorLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Wanaokandia WAPOTEZEWE!!!Mkuu mbona wengne hatuna hizo couple na tunapenda kuwepo maana kisicho ni husu huwa nakiacha kama kilivyo
Katika kufuatilia nimegundua washabiki wengi wa man u wanamchukia mess na washabiki wa arsenal wanamchukia cr7Baelezee....
Asante kwa ushauri mkuuMkuu thread hadi imefikia hapa ilipo imepitia changamoto
Tuwe makini na "propaganda za CIA Wa Jf" la sivyo thread itakufa na hiyo itakuwa ndo furaha yao
.........
Tuwaache na poropoganda zaoWanaokandia WAPOTEZEWE!!!