Mamylicious
Senior Member
- Apr 22, 2017
- 110
- 100
Wazima wote?
Wazima wewe je?Wazima wote?
Hakuna MTU(HATA MIMI) anayeweza kupangia kipi kiwepo au kisiwepo ...ugomvi na matusi ndo havikubalikiMkuu mi nashukuru tu maana naona maada yoyote inanoga inapo kuwa na kila kitu ndani na kwenye uzi huu tunajifunza mambo mengi sana na tunapo ona utani mapenzi vinafanya tufurahie uzi
Niko poaWazima wewe je?
Hi dear karibu sanaHamjambo hapa
Sawa mkuuHakuna MTU(HATA MIMI) anayeweza kupangia kipi kiwepo au kisiwepo ...ugomvi na matusi ndo havikubaliki
Ila tu huwa tunakubaliana kwa pamoja km kuna mapungufu tunajadili...hivyo kilichosemwa ni kwamba watu ambao hawana vipindi wajitahidi kubuni na wao ili kuboresha thread
...........
WazimaHamjambo hapa
Asante tumshukuru atupae pumziNiko poa
HakikaAsante tumshukuru atupae pumzi
Mama mchungaji gwalembuka?Hi dear karibu sana
AmenHakika
Ahsante mamy,umeamkaje lknHi dear karibu sana
KabisaaaaWazima
Tuseme asante kwa kuwa tu wazimaKabisaaaa
AMINATuseme asante kwa kuwa tu wazima
Tuko poa habr ya pande zakoGoodmorning the family
Sepenga CHADEMA