Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ukistaajabu ya BONGE...utayaona ya SemenyaMtoto wa kiume matikiti makubwa kiasi hiki!![]()
![]()
![]()
![]()
...........
Ukistaajabu ya BONGE...utayaona ya SemenyaMtoto wa kiume matikiti makubwa kiasi hiki!![]()
![]()
![]()
![]()
Mtaka yote...Maamuzi magumu
Utampata wapi sasa.Tutaaminije bila kusikia upande wa pili kwa shemeji Nahrene?
mambo ya kuvimbilwa ndio madhara yake hayoMtoto wa kiume matikiti makubwa kiasi hiki!![]()
![]()
![]()
![]()
Ukistaajabu ya BONGE...utayaona ya Semenya
![]()
![]()
![]()
...........
Aisee hii ni hatari.
Ngoja niingie mtaa huu na mimi nilambe like za kutosha.

kweli mkuu...Mkuu bado hujachelewa.
Ha ha ha huyu sawa mkuu lakini yule mwambie aniruhusu nimwamshe![]()
Bora umuache tu
..............
Mtumishi anataka maisha ya juu ambayo hatuwezi ku afford,mpaka sasa tuna madeni na tushaanza kuishi kwa kujificha ficha,nimemuasa tubane matumizi kuendana na kasi ya Rais ya kubana matumizi yeye hataki,anadai eti nimepitwa na wakati,hela ilivokuwa ngumu kwa maisha haya si tutashindwa hata kusomesha jamani...Sasa mtag aje aone makosa yake ili ajirekebishe maana hakuna namna sasa
Asante mkuu. Naomba Pepsi baridi![]()
![]()
Karibu sana Mkuu.
Hongera sana Mkuu.Alafu kama kawaida nimetupia mimi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ni kweli kabisaHahaha,ukisema nimeachwa haileti picha nzuri mkuu.
Ngoja kwanza tumuundie tume akigoma kusema ukweli tu namuumbua.Hebu tupia basi kapicha hapa makapuku tumuone.
Eti kasema mimi ni "Lawino" anamtaka "Clementine" JimenaMtumishi unamaanisha nin hapa kwani nini kimetokea baina yako wewe na shemeji wetu Patience123 ama unataka kuwa na wake zaid ya mmoja?
Mbona toka nimetangaza kuachana na Nahrene ndoa nyingi sana zinavunjika?Au warembo mlikuwa mnasubirri niwe single ili mnipate kirahisi..!Mtumishi anataka maisha ya juu ambayo hatuwezi ku afford,mpaka sasa tuna madeni na tushaanza kuishi kwa kujificha ficha,nimemuasa tubane matumizi kuendana na kasi ya Rais ya kubana matumizi yeye hataki,anadai eti nimepitwa na wakati,hela ilivokuwa ngumu kwa maisha haya si tutashindwa hata kusomesha jamani...
Baba mtumishi ni janga. Na aoe tu.
cc: Jimena,Tangazo! Tangazo!
KWA MAKAPUKU WOTE
Kamati ya kuhamasisha ndoa Tanzania (KAKUNDOTA) inamtaarifu kila Kapuku aliye na mke mmoja kufanya haraka iwezekanavyo aongeza mke wa pili,lengo ni kupunguza idadi ya wasichana na wajane waliojaa majumbani na mitaani! Kauli mbiu ya mwaka huu ''Ongeza Mke,Okoa Wanawake,Okoa Jamii ya Kike'' Aidha pia mwanamke aliye tayari kwenye ndoa ambaye atakataa kuongezewa mwenza apewe talaka mara moja ili awe singo aone wenzake wanavyopata adha mtaani! Hii inawahusu pia wale wasio na wake kabisa!
powa, za kwako?Poa kabisa, wanasemaje arachuga?
Umeonaee...ila mimi nimeachwa na mtumishi,ngoja nije kwako kuomba"ubeki tatu"Mbona toka nimetangaza kuachana na Nahrene ndoa nyingi sana zinavunjika?Au warembo mlikuwa mnasubirri niwe single ili mnipate kirahisi..!
Kweli nimethibitisha mimi ni asali ya warembo.
Mmmh kwahiyo uko radhi kwa uke wenza??Mtumishi anataka maisha ya juu ambayo hatuwezi ku afford,mpaka sasa tuna madeni na tushaanza kuishi kwa kujificha ficha,nimemuasa tubane matumizi kuendana na kasi ya Rais ya kubana matumizi yeye hataki,anadai eti nimepitwa na wakati,hela ilivokuwa ngumu kwa maisha haya si tutashindwa hata kusomesha jamani...
Baba mtumishi ni janga. Na aoe tu.