Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Usije sema sikusema.vibaya ndo vitamu mkuu
Nasema haya kabla sijafa.
{Nick mbishi}
Usije sema sikusema.vibaya ndo vitamu mkuu
kwanza dada unaonaje, anafaa kuwa wifi yako au mtagombana?Simamia show
Na uwaambie hawa warembo humu waache kunishobokea nimewahiwa..Uwe na msimamo basi
Haki ya nani kumbe bado wanitaka hahahahaha acha uchawi basi d!!!!Usije sema sikusema.
Nasema haya kabla sijafa.
{Nick mbishi}
Hatutagombana asilani, mi yoyote utakaemleta sina neno ili mradi tu awe anakupa furahakwanza dada unaonaje, anafaa kuwa wifi yako au mtagombana?
Kweli kabisa,watu wameanza kulewa.Hata wenyeji wamepunguza kabisa ushirikiano.
Waambie tuNa uwaambie hawa warembo humu waache kunishobokea nimewahiwa..
mwenyewe huko mi siingiliiSijui shida ni nini hasa?Hata wenyeji wamepunguza kabisa ushirikiano.
Nikutake wa nini!Haki ya nani kumbe bado wanitaka hahahahaha acha uchawi basi d!!!!

kasi ni kubwa sana wakuu yaani uzi haulaliSijui shida ni nini hasa?
Kumbe wachawi ni wengi!Waambie tu![]()
mwenyewe huko mi siingilii
.Mchana mwema dears ngoja nile niongeze alichonirithisha mama nisije baki mifupa nikashindwa cha kuringia mjini.
We mwenyewe hujanipa like wiki sasakasi ni kubwa sana wakuu yaani uzi haulali
nzuri hiyo, nimeipendaHatutagombana asilani, mi yoyote utakaemleta sina neno ili mradi tu awe anakupa furaha
Adui wa msalaba wew, unaanza kumuuza jimena!Naona jimena ameanza kukushobokea,mkazie unaweza ukaopoa goma.
Hata jina langu baya mi mtamuvibaya ndo vitamu mkuu