Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Wewe kwa jinsi ulivyo mrembo hiyo kazi hitakufaa labda uje tuyajenge tu.Umeonaee...ila mimi nimeachwa na mtumishi,ngoja nije kwako kuomba"ubeki tatu"

Wewe kwa jinsi ulivyo mrembo hiyo kazi hitakufaa labda uje tuyajenge tu.Umeonaee...ila mimi nimeachwa na mtumishi,ngoja nije kwako kuomba"ubeki tatu"

Kumbeeee!!ndo maana baba mtumishi anamnyemelea Jimena ,kumbe ndo inside ze ajenda.Tangazo! Tangazo!
KWA MAKAPUKU WOTE
Kamati ya kuhamasisha ndoa Tanzania (KAKUNDOTA) inamtaarifu kila Kapuku aliye na mke mmoja kufanya haraka iwezekanavyo aongeza mke wa pili,lengo ni kupunguza idadi ya wasichana na wajane waliojaa majumbani na mitaani! Kauli mbiu ya mwaka huu ''Ongeza Mke,Okoa Wanawake,Okoa Jamii ya Kike'' Aidha pia mwanamke aliye tayari kwenye ndoa ambaye atakataa kuongezewa mwenza apewe talaka mara moja ili awe singo aone wenzake wanavyopata adha mtaani! Hii inawahusu pia wale wasio na wake kabisa!
Mkuu kumbe uko chuga!!powa, za kwako?
Rejea page ya nyuma kuna tangazo muruaaMmmh kwahiyo uko radhi kwa uke wenza??
Miss you love![]()
![]()
![]()
![]()
itakuwa kweli.
Nimeamka salama lov ,vipi ww?Sweety umeamka je!
Naskia mabeki tatu wanakuwaga "watamu"so na mm nataka ubeki tatu ili niwe mtamuWewe kwa jinsi ulivyo mrembo hiyo kazi hitakufaa labda uje tuyajenge tu.![]()
![]()
![]()
![]()
Pamoja sana Mkuu.Asante,pongezi nyingi ziwaendee makapuku wote popote walipo.
Mi siweziiii........ Yani SIWEZIIRejea page ya nyuma kuna tangazo muruaa

Poa mkuu hamna noma.Pamoja sana Mkuu.
Karibu mama.Naskia mabeki tatu wanakuwaga "watamu"so na mm nataka ubeki tatu ili niwe mtamu
Mimi team kuruka ila hapa sijaruka mzeeeMkuu unaonaje uachie ngazi naona nahitaji chombo kama jimena!

Kuna mwingine naona wanaitana "my love" Naona manuu aliniingiza choo cha watoto,lazima ninyee poti mwaka huu.Mi siweziiii........ Yani SIWEZII![]()
![]()
Kwa kupenda wake za watu. Nitakutoa kispora kijanaDah aisee shem leo umeniangusha.
Basi mpe Nahrene jambilo kisha we ubakie na Patience123 ili wote mridhike, mana mna tamaa ya kila mnachokionaWewe kwa jinsi ulivyo mrembo hiyo kazi hitakufaa labda uje tuyajenge tu.![]()
![]()
![]()
![]()
Asante baba lolKaribu mama.
aiseeeNaskia mabeki tatu wanakuwaga "watamu"so na mm nataka ubeki tatu ili niwe mtamu
Miss u more babe!Miss you love
Miss you love
Ngoja nikunong'oneze, anataka azime taa kwa shem lizz.Tatizo ana tamaa mno! Mpaka hana hakika na nani ndio yupo motoni kwake