shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mimi sio kama mtoto wa MaoShemela shululu ukule mapema
Mimi sio kama mtoto wa MaoShemela shululu ukule mapema
Acha kumkatisha tamaa mwenzio sio mbaliNi mbali aisee
Ila madalali wezi sana, hajawahi kukuibia?Uzito sijawahi kuwapima ila hawa madalali huwa wanakuja kuwakagua ndipo huwanunua
Walikuwa 300 kwa sasa wamebaki 170
Amesema atanijuza ila asije kujikuta amechanganya mambo ya Mbozi na ilejeKipi hicho
Hapo leo niSpain LaLiga
![]()
El Classico ni leo tukutane kwenye mechi
pembeni tu huku natizama gameNiko poa shemela wangushemela umeamkaje
Mpemba, juzi tu nilikuwa unguja, pemba imenikaaPemba =mpemba
Usijali mkuu ulikuwa kwa akina yaheeMpemba, juzi tu nilikuwa unguja, pemba imenikaa
Shikamoo mussolinNipo JF toka mwaka 2011
Mkuu jumamosi na jumapili huwa napumzika tu sipost mambo ya kuumiza kichwa (Top 10 au mambo usiyoyajua kuhusu...)Ahsante bro Bitoz kwa picha wakati tukingojea Je wajua tupate kupata ratiba ya mechi za leo Jumapili
nimeamka poa kaka akee za wwUmeamkeje dadake na mimi
Miaka ya 2000 huko MBY tulikuwa na dada wa kazi ni Mndali maeneo ya Block T, tuliishi nae fresh tu Ila kuna jambo sio la kawaida alikuwa analifanya. Alitoroka nyumbani zaidi ya mara tatu na zote hizo anatoka saa 11 alasiri baadae tunapata taarifa kuwa yupo kwao na anadai anatembea kwa miguu toka home mpaka kwao ileje.Poa mkuu ila nasubiri kwa hamu kujua hicho kisa
Morning shemela wangu za jumapiliNdio CCM walivyo, morning shemela
hahahahhPiga makofi tafadhali, maana wewe ni mnazi wa ndondo fc
Hasa mboziAmesema atanijuza ila asije kujikuta amechanganya mambo ya Mbozi na ileje
Mungu kanipa afya telenimeamka poa kaka akee za ww
Pia kuna mbegu nyingine huwa sio nzuri ndio hufika umri huoSawa mkuu nashukuru mi nimeona wale wanao fuga wiki sita
Lakini sio rahisi kivile coz ukitaka kufanya hivyo lazima ujifanye rafiki wa wananchi, wabunge, mahakama na wana jeshi sasa yeye hapendwr kutokana na miropoko yake na kubania maslahi ya baadhi yaoSanasana ataibadilisha ili awe Rais wa maisha.
Hiyo ni rasimu ya katiba hivyo siyo katiba kamili ni km muswada ila bado haijawa sheria hadi process zikamilike ikiwemo kusainiwa na RaisLazima aifuate tu
Nawe ni mmoja wao?