Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sawa mkuu ila nimeona kuwafuga ndani ya uzio ni ni ngumu sana na garama zinakuwa kubwa
Inategemea na maeneo kama upo karibu na mashine za kusaga hizi au vijijini ni rahisi kuwafuga bila gharama kubwa.

Mjini kuna chakula kinauzwa kama 35k kina ujazo wa 25kg kinaitwa Concentrate sharti ni lazima ukichanganye na debe saba za Pumba. Ila ukiamua unaweza maana soko Lake ni kwenye mahoteli makubwa
 
Asante kwa elimu hii mkuu huku soko hamna mpaka waje wa mjini ndo angalau inaweza kuona kuku wanaleta faida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom