Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Sawa mkuu ila nimeona kuwafuga ndani ya uzio ni ni ngumu sana na garama zinakuwa kubwaUnawafuga kisasa wanakuwa ndani ya uzio pia chanjo muhimu
Sawa mkuu ila nimeona kuwafuga ndani ya uzio ni ni ngumu sana na garama zinakuwa kubwaUnawafuga kisasa wanakuwa ndani ya uzio pia chanjo muhimu
sbbu namwaminiwe unajuaje??
si una mlinzi ww mwambie akutafutie
Mchele wa kutoka kamsambaKuna karanga na mchele safi sana
Sawa ila kama alikuwa anapitia mpemba sio mndali Huyo atakuwa mlambyaHuyo binti tuliyekuwa tunaishi nae
Tena mafuta ya motoamekwenda kukanyaga mafuta
Aisee basi yalimtesa sana binti wa watuHii ni hali inayo tokea sehemu nyingi ni mapepo ambayo huwa yanaweza kumpeleka mtu yanavyo taka
Mbozi ya kipindi hicho ilikuwa hatari hapo ukisikia: tumghoje tumleshe ukisikia tumghoje ujue we tayari ukisikia tumleshe ujue umeponaNikiwa naenda kutembea tunduma
Kingine kule nilikuwa naogopa wachawi, na kuuana bila sababu
Jibu sasaSijjapotezea
kwan jana ulikesha na mvua inanyeshauaminifu utakuponza
badae bhana, ngoja nilale kwanza
Mmh mbona unanitisha shemelaTena mafuta ya moto
Sio kosa lakopoa shem hivi hatujasalimiana nisamehe tu shem
Amesema sio wa huku ila amewahi kuishi jirani na hukuhahahhahah kwahiyo ni wa hukohuko shemela wangu
hahahhah nisamehe tu shem wanguSio kosa lako
Ni lee empire ndio tatizo
Ndo hivyo mkuu watu wa hivyo inaweza ukawa nae sehemu mmelala ukija kuamka hayupo na anakwambia niko sehemu Fulani yaani mapepo yanapo taka awe ndo anakuwa hapoAisee basi yalimtesa sana binti wa watu
Mkuu naogopa atatuharibia majina ya miji huyu
Karibu unahamia au unapita tu?Hodiii