Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
shemela umeamkajeNzuri, Asante nawe pia uwe na jumapili yenye baraka tele
shemela umeamkajeNzuri, Asante nawe pia uwe na jumapili yenye baraka tele
ahhahaha- Leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ya kuhamasisha matumizi ya Lugha ya Kiingereza.
Kuna mtu hapa hataki kusafiri kwa kuwa lugha ya mkoloni sio rafiki kwake.
asante mussolin kwa historia ubarikiwe sanaLeo Katika Historia:
Niwatakie jumapili njema.
Sawa mkuu nashukuru mi nimeona wale wanao fuga wiki sitaMwanzo ilikuwa ni 4500 imesogea mpaka 5000 na itakwenda mpaka 5500 kutokana na uzito wa kuku.
Umri sahihi ni 28days - 33days hapo utakuwa na faida ila wakizidi ni hasara
mpk raha niliona clip yake![]()
Juzijuzi kamvisha pete ya uchumba demu wake ulingoni![]()
....
YapHuko ndiko wanapatikana wandali?
Lazima aifuate tuHii Sizonje hataki kuisikia maana inampunguzia madaraka![]()
![]()
![]()
![]()
......
Ni mbali aiseeKutoka huko mpaka jijini mbeya kuna umbali wa Km ngapi?
Nahisi barabara ya lami badoKutoka huko mpaka jijini mbeya kuna umbali wa Km ngapi?
Wa kudumu, wa maisha haweziSanasana ataibadilisha ili awe Rais wa maisha.
Unaingilia pemba au unapitia kyelaSijafuatilia sana umbali ila mi nilipo inaweza kuwa km 100
Kipi hichoKuna kisa kinashangaza sana ndio maana nimeuliza hivyo
Morning NyageiGood morning Shululu
Pemba =mpembaUnaingilia pemba au unapitia kyela
Leo city anakaaEngland EPL & FA
![]()
FA
![]()
Ndio CCM walivyo, morning shemelawabunge wanaenda kunyamazishwa
Kwangu zote ni njia ila kyela ni mbali sana napitia inayo tokea KK au mbalizi na hata ya mpemba kama naenda tundumaUnaingilia pemba au unapitia kyela
Piga makofi tafadhali, maana wewe ni mnazi wa ndondo fc
Huku lami hamna ni changalawe tu japo nasikia wana mpango wa kuiwekea lamiNahisi barabara ya lami bado