Makapuku Forum

Makapuku Forum

adc9338ef7d3299d0cb037b2b0fea3dc.jpg
Hii Sizonje hataki kuisikia maana inampunguzia madaraka

......
Hakika
 
Aisee ulipost picha ya makalio ya ngedere ungabure yakiwa wazi?
Au ulikwaruzana na mkongwe first class

Kiukweli kabla ya ID hii nilikuwa nyingine ambao niliitumia mwezi mmoja tu nikapoteza password maana nilikuwa mshamba tu sijui hata log in....niliambulia like 3 tu na masimango kibao
Fasta nikaja na hii Bitoz ambayo ina nyota ya ngekewa,..sijawahi kugusa ban
Huwa najiepusha na malumbano mtu akizingua nampotezea tu ndo itamfanya aumie
.......
Hahaha...kweli mzee wa Ngekewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom