Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mkuu kwani alikuwa anatokea ileje sehemu gani maana ileje ni kubwaMiaka ya 2000 huko MBY tulikuwa na dada wa kazi ni Mndali maeneo ya Block T, tuliishi nae fresh tu Ila kuna jambo sio la kawaida alikuwa analifanya. Alitoroka nyumbani zaidi ya mara tatu na zote hizo anatoka saa 11 alasiri baadae tunapata taarifa kuwa yupo kwao na anadai anatembea kwa miguu toka home mpaka kwao ileje.
Akiulizwa anadai huwa kuna nguvu zinamuingia zinamtuma akimbie vile.
