Makapuku Forum

Makapuku Forum

2015 - ID ya Mussolin5 inaanzishwa ndani ya JamiiForums.

Leo ni miaka miwili tangu nianze kutumia ID hii maridhawa mara baada ya hapo awali kula life ban kupitia ID ya awali.

Kwa msiofahamu, juyo jamaa mwenye Kofia na midevu kwenye avatar yangu anaitwa Camilo Cienfuego. Alikuwa ni mwanapinduzi wa Cuba alifariki kwa kupotea kwa ndege aliyopanda.

Namkubali sana, thats why huwa siwezi change avatar yangu.
Aisee, hongera sana kwa 2yrs ndani ya jf
 
Belgium playoffs
28e30cdbfb046419bca3ccb0b71e1092.jpg
 
Hata ukifukuzwa kazi potelea mbali kwa sababu bosi mwenye wivu yule wala sipati picha jinsi unavyoteseka japo unakula kwa macho. Achana na hiyo kazi twende tukalime nyanya katika vijito vya likijiji la maraha Koromije.
ah wapi nani akalime ????
lima mwenyewe kama inakulipa wacha nipige kazii mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom