Makapuku Forum

Game njema
 
Amen
 
Asante mdau, mwenyewe hata hicho kilugha kinachoimbwa sikielewi sema gitaa ni kama mchezo wa soka, una lugha moja, utamu makinifu.
Nimejisikia vizuri kuwa umetenga muda wako kusikiza nilichopost japo najua ni mida mibovu
Ndio mida yake hii
 
Matokeo ya mechi zilizochezwa tarehe 19/4/2017
Kenya premier League

UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Timu za Germany zote zimetolewa kwa jumla ya mabao 6-3, Monaco walifanikiwa kutibua mipango ya Dortmund na kuwafanya kila wakifika wanakosa mbinu mwisho mpira unakwisha Monaco 3-1 Dortmund.
Huko nako Camp Nou mambo yalikuwa magumu mno kwa Barcelona kukutana na kisiki cha mabeki wa Juventus, mwisho mpira unakwisha Barcelona 0-0 Juventus
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…