Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
T mume wanguThubutuuu
Hebu ukuje uone venye Lee mkorofi
T mume wanguThubutuuu
Nmefurahi kusikia hivoNiko poa kabisaa
Kulala na T kwa bed separateWewe unapendaa nini
Hahahaahah lee anaweka mkazo ila kujaa nimejaa kwa vipimo takatifuDooh yani kajaa tele tena... Basi vigezo hana
Asante Bitoz
Asante mkuu ubarikiwe![]()
Pamoja wakuuThanks mkuu
teh kitu cha janiAaaachee cha rchugaa..atatumaa tu
utafungia chumbani nn babyNtafungia chumban
atasusa kweliAsikutishee
Cha wapi hikiAmabhango hehe wachu!?
kula kiduchu tu dada nampenda lee zaidiHahaha
Unapenda kula na wewe

Koromije inanyamazishwa na mkweche wa angani wa Gwajima tu na si vinginevyo. Watu wenyewe ikifika usiku wanageuka tigers tena waje wanyamazishwe na tigers mwenzao? Chezea kwingine siyo Koromije tena ukome!![]()
7![]()
Muungurumo wake Unaweza kunyamazisha kijiji kizima cha Koromije
.......
hahahahaWewee endelea tu kunipima vipimo vyote ila jibu liwe zuri la kueleweka
Kakangu nimemmissHivi bongo wapo?
Cc:
Quigley
Ahhhhaaah![]()
![]()
chakorii nampenda sana
Huo ni uchochezi sasa kipenzi changuAkujibu nitag..
Hahahaha yani leee wewe ni kama Ronaldinho unajua kucheza na mipira ya kati, mipira iliyo kufa, mipira yote yani we mkali sana middle moja hatari, endelea kugonga pass za kufa mtu, kuna zawadi inakuja ila tushinde kwanza.Mtakemeanaa
Akujibu nitag..
Sio mtu wa mbwembwe za mapenzi
Mlinzi wako Shedede hajafika lindoni ama? Naona bado hajaonekana hapa...hahahaha