Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
DadaSo sweet
Babe we found love!!!!
I am totally in love hunie
DadaSo sweet
Babe we found love!!!!
I am totally in love hunie
KakanguDada
Ubarikiwe dear damu ya Yesu ikufunikeUsiku mwema Wana familia
Amen mummy ubarikiwe asanteJaman mlale salama
Damu ya Yesu ikawafunike
Tulale wote salamaaaJaman mlale salama
Damu ya Yesu ikawafunike
AmenAmen mummy ubarikiwe asante

HahahaKiruuu una kazi nazo
Bitoz asante nimeyaona
lee empire mjomba asante kwa magazeti
Transcend uzi unakimbizwa sana yaani ukiamka kama kumekuchwa
Shunie magazeti hayana formula, inabidi yawekwe asubuhi, mchana na jioni
Hawa kwa namna walivyolike, nina mashaka kama walisoma magazeti
Sakayo , mkubhi , Clkey
BlessedHope hujambo ? (unaponijibu usiwe unaniita mkuu tafadhari)
Yes brotherMy sisy
Shikamoo dadaPoa
Shkamo kaka
AmenTulale wote salamaaa
Nakupenda sanaKakangu
Ni kwann watu wanahis Ar wanawake ni wakorofi lkn , lkn pia kwa hyo picha Ar pana baridi kma kipindi hiki kwa hyo usivae sweta ama koti kisa waenda kutana na mtu kesho ukiumwa kifua kisa fasheni itakuwaje? Mtuache bwana masela wetu wanatukubali mbona labda nyie wa mikoani
Wadau, tunaendelea tena na kipengele cha muziki hususani upande wa nyuzi aka gitaa. Na bado tuko Magharibi mwa Afrika.
Tunamwangalia nguli wa gitaa na muziki aliyejulikana sehemu nyingi ulimwenguni, huyu ni Ali Farka Toure, mshindi wa tuzo ya Grammy, ndiyo Grammy mwaka 1994 akishirikiana na Ry Cooder. Na sio Grammy moja tu, alishinda tuzo hizi mara mbili.
Ali Ibrahim Farka alijulikana kama 'godfather of the desert blues", kwa mujibu wa gazeti la The Guardian la Wednesday 8 March 2006 10.40 EST.
Ali Farka alifariki mwaka 2006. na kwa kuheshimu mchango wake, radio za serikali zilisitisha matangazo mengine na kucheza nyimbo zake siku nzima.
Hii hapa ni clip toka YouTube hapa akitumbuiza na gwiji la kora Toumani Diabaté
Hadi wakati mwingine tena, kwa wale wapenzi wa sauti za 'magitaa'
Umeshindwa kulala sio eeh?Kakangu
Mkuu kwema?Dada
Naanza kuzipenda sasa...
Kwema mkuuShem