Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Kapuku mwenzako kakaUkikutana nae sikusaidii![]()
.....
Kapuku mwenzako kakaUkikutana nae sikusaidii![]()
.....
Hayo meno yake ni hatari tupuHapana mkuu
Wapo wa majini pekee yaani samaki![]()
![]()
tigerfish
......
Katekwa na kipenzi chakeKakangu nimemmiss
Yuko wapi jamani
Sio mtu wa mbwembwe za mapenzi
Hivyo sinaga sana stori za mapenzi......hata km kuna kapuku yupo hapahapa natembea nae hamuwezi kujua
I'm silent killer
...............
Kurasa ni nyingi mnoMagazeti yapo ukurasa wa ngapi? lee empire
Game njemausiku mwema kwenu wapendwa nawapenda nyote
Mondray
Nyagei
Mkhubi
Shunie
Toxic
Transcend
Valentina
Sakayo
Bitoz
Snipes
Quigley
Clkey
Mama na Baba mchungaji (nahitaji maombi tafadhari
Shimba
Aisha
Lee
Obe
na wengine woteeeeeee mpaka wale nisiowataja nawapenda bureee
naenda kujiandaa na game
bai bai
Nimekumiss pia dada angu wa ukweli, kamuogeshe shemeji T si unajua sisi wanaume tuna deka kama watoto , mimi nitabaki kuwa mlinzi wako kiroho na kimwili hakuna atakae kuweza

AmenMpendwa Bwana Yesu ,kama vile kuku awafunikavyo vifaranga wake kwa mbawa zake ili kuwaweka salama ,tulinde sisi Makapuku popote kila mmoja alipo usiku huu,chini ya mbawa zako za huruma ,Damu yako ya thamani inene mema kwetu itufunike..malaika walinzi waweke vituo kwa kila mmoja wetu na familia zetu..Amen
Usiku mwema wapendwa mbarikiwe![]()
Ndio mida yake hiiAsante mdau, mwenyewe hata hicho kilugha kinachoimbwa sikielewi sema gitaa ni kama mchezo wa soka, una lugha moja, utamu makinifu.
Nimejisikia vizuri kuwa umetenga muda wako kusikiza nilichopost japo najua ni mida mibovu
Swahiba92Mungu akulinde usiku mwema mkuu
Ndio mida yake hii
Zima simUsingizi umekata gafla kwa radi hizi...
Njooni tuchat kapukuz