Makapuku Forum

Makapuku Forum

UF..
3589f6b9fd45d0b239d9e7b385e4e945.jpg
I see!
 
Magazeti:

Mwanachi: hivi Mtei yupo?

Mtanzania:Njaa ipo kila kona inaongelewa kisiasa sana Mungu atusaidie.

Nipashe:Mpaka watu waombe ajira nje ndio ajira za ndani zinatoka-Tanzania yangu inakwenda wapi?kumbe ajira zipo?

CAG. CHAPA KAZI

Tanzania Daima:BASHITE ni nani?hata mimi natamani kumjua hua sielewi.

Uhuru: bodaboda utekaji unapoteza vijana wengi,tunazika kila siku

Mawio :Natamani umeme wa Ethiopia uje ,nadhani tutapumzika

Lee empire asante kwa magazeti na facts ubarikiwe uwe na siku njema
 
HESHIMA
1 PETRO 2

17 Waheshimuni watu wote .wapendeni ndugu Mcheni Mungu.Mpeni heshima Mfalme.
Heshima,Utii,Upendo ni tabia ya kimbingu Tumerithi kutoka kwa Yesu Kristo.Alitii hadi mauti ya msalaba .
Bila Upendo ni ngumu kuonesha Heshima na Utii wetu kwa Mungu na ndugu zetu pia
Mtii Mungu kupitia Tabia yako,lugha zako,mavazi yako,,mienendo,mawazo,muda wako,mali yako,jamii inayokuzunguka
Usione aibu kumtangaza Mungu kisa watu watakuonaje,lazima watu waheshimu msimamo wako kwa Mungu wako,Mungu wetu ni mwema anatupenda sanasana na kutupigania

Tuombe:Mwenyezi Mungu Baba wa Mbinguni asante kwa kutufikisha umbali huu na kutuamsha salama,tunaomba ututakase makosa yetu yote,Bariki kazi zetu zote za mikono yetu siku ya leo,tupe kukupenda wewe kwa moyo,nguvu na akili zetu zote .Siku ya leo ifanye iwe baraka tukuone wewe.
Tunawakumbuka wasafiri,wafiwa,wagonjwa,wanafunzi,watoto,wazee , makapuku wote na wenye shida mbalimbali .Asante Baba kwa maana utatenda.Amina

MBARIKIWE
 
Amen,

Tusisahau kuwaombea wasio na shinda na matajiri pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom