Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20170419-WA0079.jpg

Mie mgeni jamani mtaa huu
 
Koromije inanyamazishwa na mkweche wa angani wa Gwajima tu na si vinginevyo. Watu wenyewe ikifika usiku wanageuka tigers tena waje wanyamazishwe na tigers mwenzao? Chezea kwingine siyo Koromije tena ukome!
Nasikia Bashite aliua paka kijijini kwao huko Koromije ndio maana anasumbua Joto City kwa kujifanya gangstar

.......
 
usiku mwema kwenu wapendwa nawapenda nyote
Mondray
Nyagei
Mkhubi
Shunie
Toxic
Transcend
Valentina
Sakayo
Bitoz
Snipes
Quigley
Clkey
Mama na Baba mchungaji (nahitaji maombi tafadhari
Shimba
Aisha
Lee
Obe
na wengine woteeeeeee mpaka wale nisiowataja nawapenda bureee
naenda kujiandaa na game
bai bai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom