Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Hebu guess...Hivi wewe ndo yule nilikuwa namuona kwa majukwa mengine au we mwingine!?!?
Hebu guess...Hivi wewe ndo yule nilikuwa namuona kwa majukwa mengine au we mwingine!?!?
Uwe na utulivu mkuu usifikiri kazi rahisi kumatch picha na maandishi maana wkt wa kupost picha haionekani hadi ukiishaipost hivyo kugundua makosa ni hadi na Mimi nikione nilichopost#7 sijaiona mkuu
Ukishajua mshabiki wa Real Madrid basi Barcelona anapita pembeni.... Nitakuwa na Juventus mkuuLeo karata yako iko wapi
Wacha maneno tuma ndiziMmelima
Mcheki kisheti naviziaa viziaaVp uko tayr kwa picha..
Pimbi or kisheti?Mcheki kisheti naviziaa viziaa
Muone kwanzaWacha maneno tuma ndizi
Upo Kala!?Pimbi or kisheti?
Niadjee mkuuUpo Kala!?
Ha haa kwanini wewe huendagi majukwaa mengine?![]()
utakuwa ndo yeye japo ukweli unao wewe