Yaani itakuwa poa sana
Leo ktk historia
1804- majeshi ya kijerumani yaskung'utwa huko Lugalo
1857- Mtwa Wa Wabena aanzisha vuguvugu huko Makambako dhidi ya Chifu Mkwawa
1907-Wamisionari 50 wa Kiingereza wauawa huko Kilwa baada ya kushambuliwa kwa mishale
1969-Mwalimu JK Nyerere aweka jiwe la msingi wa sekondari ya Pugu
1975- Sunderland(Simba) yaichapa Vyura Fc goli 12 kwa sifuri Uwanja wa Karume uliopo Mzuzima Kipese na Kizota wang'ara
Yaani hapo hadi FaizerFix atakuja kuchangia
Ila za kizungu muhimu tunaweka km kawa
......