Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1979 - Kate Hudson anazaliwa.
Msanii wa filamu kutoka nchini Marekani.
1979 - Kate Hudson anazaliwa.
Msanii wa filamu kutoka nchini Marekani.
Unanikumbusha maisha fulani hivi ya remote areasUmeshamaliza sala ya asubuhi?
Mi nipo kilabuni
![]()
![]()
![]()
.....
Sawa baba paroko nitakujaUje kwenye ibada usikose
Lakini ipo siku atatuachia Tanzania yetu atarudi zake ChatoSizonje hajaribiwi. Waulize Operesheni Ukuta
HakikaSawa naona darasa la FaizaFoxy limekufanya kuwa makini katika uandishi
Charles Taylor kwa kiasi kikubwa nae alichangia umwagaji damu huo.![]()
Almasi za damu zinapatikana huko![]()
.....
Na sadaka tutatoaa mara 4 zaidiHahahaha wewe ni mutu wa kweli sana wewe ni mutu una true love kwa mama shunie, salimia familia sana
Shukrani mkuuAsante kiongozii
MkuuuWakuu habari yenu??!!?
Baba paroko wanicheka
Hakika mkuu, hakuna marefu yasiyo na ncha.Lakini ipo siku atatuachia Tanzania yetu atarudi zake Chato
Kila lenye mwanzo lina mwisho
Yupo wapi Gaddafi?
Iddi Amin Dada?
Mugabe nae anakaribia "end of era"
.......
1987 - Joe Hart anazaliwa.
Kipa wa Man city aliyepo kwa mkopo katika timu ya Torino ambaye pia ni kipa namba moja wa timu ya taifa ya England.
Chuki na fitna zipo kila sehemu. Sema wengi wetu tunaona wazungu huwa hawakosei kumbe si kweli.![]()
![]()
Kaondoka City kwa chuki za Pep tu![]()
Sasa hivi langoni kwao kunavuja zaidi ya tenga
....
1987 - Maria Sharapova anazaliwa.
Mcheza Tennis hodari kutoka Russia ambaye ameshinda mataji kadhaa ya grandslam.
- Leo ni Birthday ya Mfalme Mswati wa III wa Swaziland.
Hivyo ni siku ya Mapumziko nchini humo.
AminaIn Jesus name sema amina, mambo ya wapendanao hakuna upupu utakao ingilia kati yenu in jesus name, let love lead
Nakuonaa nakuonaaaWewe pia ave anice day, tafuta mkate wa kila siku wa familia yako na Sakayo