Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
hahahhh acha uchocheziAkijibu nisaidiee kushare
Mi niko poa dadake na Mimi wewe jeMndali unaendeleaje
hahahh nimequote mawili sijui ww si unaweka moja mojaMii nakulovee loveeeeee
Magazeti hayapo ya kukuquote 😀 😀 😀
na leo tenaSi unajua najua ulikuwaa umemis tamuuu

hukuongea na nan tena babyNetwork ilikuwa mbovu sikuongea nae vizur
me mzima sijui ww mndaliDadake na Mimi mzima?
ahahhahahMama parokooo
hahahhah mwehu wwZile lugha kama za jana usiku?
kama serenna
nipo poa sana namshkuru MunguMi niko poa dadake na Mimi wewe je
Usivurugike jitahidi utimize 200kKhaaa mm tena leo yaan umenivuruga ujue
Mi mzima kabisame mzima sijui ww mndali
Amennipo poa sana namshkuru Mungu
yaan ujue sielewi tena ukinipongeza ndio unanipoteza kabisaUsivurugike jitahidi utimize 200k
Kwa hiyo leo pia anaongeza mke?![]()
/mobile-gallery/e9f68d72d6eadcb176c1d66d10c5a9c4.jpg[/IMG]![]()
Mzee wa vigori
....
NotedOmbi
Naomba ujitahidi kadri ya uwezo wako uwe unatuletea na kumbukumbu za nyumbani
Najua ni ngumu kuzipata km ikiwezekana nitakushtua sehemu zinapoweza kupatikana
Shukrani mkuu
.....
Hahaha na mimi nakusalimia pia, hujambo!hahahha baba paroko nakusalimia tu
Haina kwere
.....
