BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Njema umeamkaje?unaendeleaje?pole,ubarikiweWakuu habari yenu??!!?
Njema umeamkaje?unaendeleaje?pole,ubarikiweWakuu habari yenu??!!?
Mimi sijaona dhambi gani utachuma hapo, jaribu kuniweka katika mawazo yako na upime uzito wa mahaba juu yangu, halafu ndiyo utajua unafaa kuwa mama mchungaji au lahashaWewe naona unanipeleka dhambini sasa
hahhahah we mtu ni sheeda haki tena mm sijambo sanaHahaha na mimi nakusalimia pia, hujambo!
Goodmorning sir Goodday be blessedGoodmorning family.....hope mko kamili gado na mnaendelea vyema.....back to me nipo kama chuma cha pua niko na speed 120![]()
![]()
![]()
Sasa Kunena kwa lugha ni mpaka roho mtakatifu ashuke, sasa mkipendana sana na nikaliweka swala lenu mezani mwa bwana basi ujue lazima nitanena kwa lugha ameeeeni sema ameeeeeniana true love mpk nakufwa baba paroko eb zidisha maombi ata ya kunena kwa lugha
AmeeenSasa Kunena kwa lugha ni mpaka roho mtakatifu ashuke, sasa mkipendana sana na nikaliweka swala lenu mezani mwa bwana basi ujue lazima nitanena kwa lugha ameeeeni sema ameeeeeni
Ubarikiwe mkuu Mussolin5 kwa historia,siku njemaLeo Katika Historia:
Sina la ziada muwe na Jumatano njema.
Ukweli mtupu
Yaani hata huyo Michael picha take ya kwanza yupo safi kabisa ila hakujikubali na ndicho wanachofanya dada na mama zetu tena siku hizi hadi vidume vimejichubua vinatisha km paka
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Hupendi ehh niwakee, toa sadaka acha roho ya kwanini baba mchungaji ana maghorofa pitia sadaka zenu, toa ndugu toa ndugu ulichonacho bwana anakuona....Khaaa akitoka hapo anaenda viti virefu
AsanteAnaendelea vizuri tu, simu ndio ilikuwa na matatizo
baby ameshasema atatoa mara 4 mm na yy mwili mmojaHupendi ehh niwakee, toa sadaka acha roho ya kwanini baba mchungaji ana maghorofa pitia sadaka zenu, toa ndugu toa ndugu ulichonacho bwana anakuona....
Njema karibuhabari zenu???
Yaani itakuwa poa sana
Leo ktk historia
1804- majeshi ya kijerumani yaskung'utwa huko Lugalo
1857- Mtwa Wa Wabena aanzisha vuguvugu huko Makambako dhidi ya Chifu Mkwawa
1907-Wamisionari 50 wa Kiingereza wauawa huko Kilwa baada ya kushambuliwa kwa mishale
1969-Mwalimu JK Nyerere aweka jiwe la msingi wa sekondari ya Pugu
1975- Sunderland(Simba) yaichapa Vyura Fc goli 12 kwa sifuri Uwanja wa Karume uliopo Mzuzima Kipese na Kizota wang'ara
Yaani hapo hadi FaizerFix atakuja kuchangia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ila za kizungu muhimu tunaweka km kawa
......

Unamjua pastor Gabriel wa kwenye isidingo???hahhahah we mtu ni sheeda haki tena mm sijambo sana
sifatilii hiyo kitu baba paroko toka nipo mdogo mpk leo mzee haiishiUnamjua pastor Gabriel wa kwenye isidingo???
Tumsaidiee paroko ujue jana maombi alifungaumeanzaaaaaa
Usipende kusaidiwa kushareAkijibu nisaidiee kushare
Lakiniiii weeeweeei know hunnie bas tu unajifanyaga mbishi![]()
![]()
Siku moja moja jaribu kufuatilia ni something goodsifatilii hiyo kitu baba paroko toka nipo mdogo mpk leo mzee haiishi