Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ina onekana huko Mkuranga polisi hawana maelewano na wananchi ndio maana haya yanatokea, maana juzi kati kuna wale wa ushuru wa mkaa walipigwa shaba na watu wakachukua mkaa wakasepa hamna uombolezaji au wasemaji ya kuwa nini kilitokea!!!

Polisi wajitafakari!!!

Ila adui/muuaji ni "mnyambis" na yupo gado 8 policemen si mchezow!!!
Ana mafunzo ya kijeshi
 
Tatizo lipo mkuu japo sijalifuatilia hili jambo kwa kina ila kuna mambo nyuma ya pazia, haiwezekani wauaji watangaze vita na viongozi wa serikali pasi na chanzo.
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria,mimi binafsi nimehudhuria msiba wa kati ya waliouwawa kuna jamaa yangu amepoteza mume wake binti mdogo tu,na amemuacha na watoto wadogo kabisa wakwanza hana hata miaka sita ,inasemekana waliimuua waliacha watu woteee na kumpiga risasi askari tu..tunalia. .tunaomboleza ..tumebaki na mjane mtoto..kimya hakuna kinacholeta matumaini..kwakweli Mungu aingilie kati ...na hatua zichukuliwe mapema maana wameanza askari watahamia kwa raia tutakwisha , .... mtu aliyezoea kula nyama ya mtu kamwe hawezi kuacha.
 
Ina onekana huko Mkuranga polisi hawana maelewano na wananchi ndio maana haya yanatokea, maana juzi kati kuna wale wa ushuru wa mkaa walipigwa shaba na watu wakachukua mkaa wakasepa hamna uombolezaji au wasemaji ya kuwa nini kilitokea!!!

Polisi wajitafakari!!!

Ila adui/muuaji ni "mnyambis" na yupo gado 8 policemen si mchezow!!!
 
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria,mimi binafsi nimehudhuria msiba wa kati ya waliouwawa kuna jamaa yangu amepoteza mume wake binti mdogo tu,na amemuacha na watoto wadogo kabisa wakwanza hana hata miaka sita ,inasemekana waliimuua waliacha watu woteee na kumpiga risasi askari tu..tunalia. .tunaomboleza ..tumebaki na mjane mtoto..kimya hakuna kinacholeta matumaini..kwakweli Mungu aingilie kati ...na hatua zichukuliwe mapema maana wameanza askari watahamia kwa raia tutakwisha , .... mtu aliyezoea kula nyama ya mtu kamwe hawezi kuacha.
Pole sana kwa mjane
 
Tatizo lilianza pale polisi walipoanza kutumika vibaya na serikali kuumiza wananchi sasa wanaanza kulipa ,,,ndio wananchi hawalaani chochote
 
Ni kweli,kwa sababu tunapaswa kushiriki mateso na kuvumilia kuacha vile tunavyopenda zaidi,its more symbolic as Jesus passed through much pains more than two thousand years ago,na sio nyama to all luxuries tunaweza kujikatalia na kufanya matendo mema,kuhudumia wahitaji na kuongeza upendo kwa wenzetu,tukumbuke kuwa matendo mema na upendo ndio amri kuu.unaweza kuacha kula nyama ukakosa upendo unakua hakuna ulichofanya...mbarikiwe wapendwa
Asante mama mtumishi
 
4fdb5831d0a7badd280e7ef559894382.jpg
9542327248d799fd6f8199fee9ad7241.jpg
929553c0319de621ae8a39ae7eb44cd5.jpg
5ac5e4522015643971842d415ce14317.jpg
1adb2a1f0ca6db696598688a272f1061.jpg
5c4b8ad0df4b4266304bb8150dd1b035.jpg
a4d820723ea6d7683d0bf5589823d992.jpg
hao ndio askari waliopoteza uhai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom