Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huku Arsenal wakiwa na akina Gabriel na Matesaka, kwanini Messi na CR7 wasitupie kila siku.
Zamani walikuwepo Campbell na Keown
bdb0382a2fd54ca8a85e1cd86cdb7784.jpg

Kwanini Prof Wengewenge asipigwe mkono kila siku
....
 
Mbona chanzo kinahulikana ni CCM kutoka kutoka kudhoofisha nguvu ya CUF Z'bar maana kila chaguzi wanawasumbua kwenye ballot box
Kingine Ni kuidhoofisha UKAWA
Hapo Lipumbavu na Msajili + RITA & Spika wanatumika tu
.....
Nafikiri wakiyamaliza either Lipumba arudishwe rasmi or asikubaliwe na viongozi husika itamaliza hii vita.

Vitu vingine havihitaji elimu kubwa hasa kwa Lipumba
 
Zamani walikuwepo Campbell na Keown
bdb0382a2fd54ca8a85e1cd86cdb7784.jpg

Kwanini Prof Wengewenge asipigwe mkono kila siku
....
Unapitaje kwa Martin Keown kizembezembe? Au kwa Sol Campbell mtu na jihadi zake.

Walikuwa wanaume ila sasa soka linachezwa na wavulana.

Ukija kwenye idara ya kiungo unakutana na Vieira, huku Roy Keane.

Lakini leo unakutana na Carrick na Carzola au Elneny.

Nyakati zimekwenda wapi?
 
Nafikiri wakiyamaliza either Lipumba arudishwe rasmi or asikubaliwe na viongozi husika itamaliza hii vita.

Vitu vingine havihitaji elimu kubwa hasa kwa Lipumba
Lipumbavu katumwa na kupewa mjwanja na ulinzi + sapoti serkalini
Ugomvi hautaisha kamwe labda kwa nguvu ya MAHAKAMA au Lipumbavu afe
Anajua afanyalo

...
 
Unapitaje kwa Martin Keown kizembezembe? Au kwa Sol Campbell mtu na jihadi zake.

Walikuwa wanaume ila sasa soka linachezwa na wavulana.

Ukija kwenye idara ya kiungo unakutana na Vieira, huku Roy Keane.

Lakini leo unakutana na Carrick na Carzola au Elneny.

Nyakati zimekwenda wapi?
Kuna kipindi walikuwa wanapambana Anderson v Cocquelin au sijui kiungo gani bwege wa ArsayNO
NI KITUKO
....
 
Hatari sana

Kiboko yao ni Roy Keane

Kapteni wa muda wote

Usiombe wakutane na Vieira undava undava
Tulikuwa tukiita " Midfield Battle " mtoto hatumwi sokoni siku hiyo.

Hapo unaeza kuta siku hiyo Fergie akawaanzisha Keane na Nicky Butt kwenye idara ya kiungo, basi hapo ni makwanja na viatu tu halafu baade baadae akaingia Scholes kumaliza game.
 
Wale wote katika kipindi cha mitihani (shuleni/vyuoni) mliokuwa na tabia ya kuwaambia wenzenu kuwa, "sijasoma kabisa", lakini kwenye chumba cha mtihani mlikuwa mnaomba makaratasi ya ziada ya kujibia maswali (extra answer sheets)....nawatakia:-

HAPPY JUDAH's DAY!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom