Makapuku Forum

Makapuku Forum

Dah soka letu linashuka siku baada ya siku.
Kumbuka kati ya kadi 3 zinazodaiwa kuna mechi haikuoneshwa wala kurekodowa na AzamTv hivyo kuna uwezekano mkubwa hakupewa kadi yoyote ila Simba walijua wazi Hapo ndo pakushika maana " wakosoaji" nao watakosa ushahidi

Mimi Yanga damu lakini Simba msimu huu wapo vizuri toka ligi ianze ila hizi point za mezani zitaondoa heshima yenu ya ubingwa pia itachangia kupunguza mvuto na ushindani mechi zilizobaki
.........
 
8f87f70a5f9f92121dca64c53d839339.jpg
Beauty without Brain, secret parts suffer the most.
 
Leo hakuna kula nyama chomaa
Ni kweli,kwa sababu tunapaswa kushiriki mateso na kuvumilia kuacha vile tunavyopenda zaidi,its more symbolic as Jesus passed through much pains more than two thousand years ago,na sio nyama to all luxuries tunaweza kujikatalia na kufanya matendo mema,kuhudumia wahitaji na kuongeza upendo kwa wenzetu,tukumbuke kuwa matendo mema na upendo ndio amri kuu.unaweza kuacha kula nyama ukakosa upendo unakua hakuna ulichofanya...mbarikiwe wapendwa
 
Ila kama mabeki wa kizazi hiki ni wazembe na walaini sana.

Mastraika pure kama akina Inzaghi, Raul na hata Shevchenko walishindwa kufikisha japo goli 80.
Na Ronaldo keshaanza "Inzaghi style" maana anazeeka

Hebu fikiria Mab Utd tulikuwa na kina Stan,Henning Brtg wakaja akina Rio na Vidic halafu now tuna Smalling na Rojo(Bailly anajitahidi)
Kweli soka limeshuka
.....
 
Kumbuka kati ya kadi 3 zinazodaiwa kuna mechi haikuoneshwa wala kurekodowa na AzamTv hivyo kuna uwezekano mkubwa hakupewa kadi yoyote ila Simba walijua wazi Hapo ndo pakushika maana " wakosoaji" nao watakosa ushahidi

Mimi Yanga damu lakini Simba msimu huu wapo vizuri toka ligi ianze ila hizi point za mezani zitaondoa heshima yenu ya ubingwa pia itachangia kupunguza mvuto na ushindani mechi zilizobaki
.........
Ukweli mtupu. Tutabaki na ligi yetu ya kibabaishaji na viongozi wasiojitambua huku soka likizama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom