Hakika Bwana yu mwema.....habari za uzima?Ashukuriwe Mungu aliye juu,tunamshukuru kwa uponyaji unaondelea..pole sana na endelea kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu![]()
AminaMuhimu tuienzi ijmaa kuu kwa kutenda yaliyomema
Hutokea kama net inasumbuaHii notification itakuja kunitoa roho ...![]()
Salama ndugu yangu, sijui wewe?Baba mchungaji salama ??
Goodmorning ShemelaMorning sir
Hii notification itakuja kunitoa roho ...![]()
hata mie ilinitokea nikashangaa sana, nikafikiri ..... washafanya yaoAm goodGoodmorning Shemela
Ahsante Dr. MussoLeo Katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
Gud tu hia dhatAm good

Leo Katika Historia:
1865 - Rais Abraham Lincoln wa Marekani anashambuliwa kwa risasi katika ukumbi wa Ford na kufariki siku iliyofuata.
1912 - Meli ya RMS Titanic ya kiingereza yagonga ice berg katika bahari Atlantic ikiwa safarini kuelekea Marekani.
2014 - Wasichana 276 wa Shule nchini Nigeria wanatekwa na kikundi hatari cha Boko Haram.