Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
AhaaaaaaahWale wote katika kipindi cha mitihani (shuleni/vyuoni) mliokuwa na tabia ya kuwaambia wenzenu kuwa, "sijasoma kabisa", lakini kwenye chumba cha mtihani mlikuwa mnaomba makaratasi ya ziada ya kujibia maswali (extra answer sheets)....nawatakia:-
HAPPY JUDAH's DAY!!!