ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,001
Haya shem ngoj tumsubirPole sana ila atarudii soon
Haya shem ngoj tumsubirPole sana ila atarudii soon
Tutakulindaa na kukupendaHaya shem ngoj tumsubir
Nashukur kwa ulinzi wenu nami namipenda piaTutakulindaa na kukupenda

UsichepukeeeNashukur kwa ulinzi wenu nami namipenda pia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Siwezi fanya hizo mambo shemUsichepukeee
Ayo ndo manenoSiwezi fanya hizo mambo shem
Usijali shemuuSawa shem ngoj niandae mahanjumati ya jion
The sniperAna mafunzo ya kijeshi

Poleni sana.....ni visasi, kama polisi hawana mahusiano mazuri na raia ndio inakuwa hivyoTatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiria,mimi binafsi nimehudhuria msiba wa kati ya waliouwawa kuna jamaa yangu amepoteza mume wake binti mdogo tu,na amemuacha na watoto wadogo kabisa wakwanza hana hata miaka sita ,inasemekana waliimuua waliacha watu woteee na kumpiga risasi askari tu..tunalia.![]()
![]()
![]()
![]()
.tunaomboleza
![]()
![]()
![]()
![]()
..tumebaki na mjane mtoto..kimya hakuna kinacholeta matumaini..kwakweli Mungu aingilie kati ...na hatua zichukuliwe mapema maana wameanza askari watahamia kwa raia tutakwisha , .... mtu aliyezoea kula nyama ya mtu kamwe hawezi kuacha.
Umeona bhana eeh!!!.....Tatizo lilianza pale polisi walipoanza kutumika vibaya na serikali kuumiza wananchi sasa wanaanza kulipa ,,,ndio wananchi hawalaani chochote

Wa3 ni mayanki wadogo sana asee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hao ndio askari waliopoteza uhai![]()
Sawasawa mkuu, hawa jamaa wamekuwa waonevu sana kiasi kwamba wanachukiwa sana!!!Mitaala bora kuliko yote ni polisi kuwa na mahusiano mema na jamii kwani wahalifu wanafahamika na jamii
Kifo hakina umriWa3 ni mayanki wadogo sana asee
Dah!!! Jamaa pepo kamtembelea asee
Kwelii mkuu wadogo sanaWa3 ni mayanki wadogo sana asee
Afu weweAmen.....same to you