Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Tukio la jana mnalizungumziaje wakuu, Polisi 8 kuuwawa kwa mkupuo sio jambo zuri na inaonekana kuna sehemu kuna tatizo...
Kweli mkuu zama zimebadilika wachezaji wetu ni mafashenisti wa siku hiziTulikuwa tukiita " Midfield Battle " mtoto hatumwi sokoni siku hiyo.
Hapo unaeza kuta siku hiyo Fergie akawaanzisha Keane na Nicky Butt kwenye idara ya kiungo, basi hapo ni makwanja na viatu tu halafu baade baadae akaingia Scholes kumaliza game.
Alikuwa ni Denilson kiungo wa Kibrazil. Tupia picha yake kidogo
Tatizo lipo mkuu japo sijalifuatilia hili jambo kwa kina ila kuna mambo nyuma ya pazia, haiwezekani wauaji watangaze vita na viongozi wa serikali pasi na chanzo.Tukio la jana mnalizungumziaje wakuu, Polisi 8 kuuwawa kwa mkupuo sio jambo zuri na inaonekana kuna sehemu kuna tatizo...
Halafu navosikia jambazi/gaidi alikuwa mmoja na huwa wanauwa askari tu raia hawana habari naoTukio la jana mnalizungumziaje wakuu, Polisi 8 kuuwawa kwa mkupuo sio jambo zuri na inaonekana kuna sehemu kuna tatizo...
Barikiwa mamyAmen ubarikiwe
Tulikuwa tukiita " Midfield Battle " mtoto hatumwi sokoni siku hiyo.
Hapo unaeza kuta siku hiyo Fergie akawaanzisha Keane na Nicky Butt kwenye idara ya kiungo, basi hapo ni makwanja na viatu tu halafu baade baadae akaingia Scholes kumaliza game.
Hahaha...kiungo laini laini hata hatishi.![]()
![]()
Hapa akiburuzwa na CR7
Ukabaji wake Ni km wa netball
...
Nasema majambazi chapa kaziTukio la jana mnalizungumziaje wakuu, Polisi 8 kuuwawa kwa mkupuo sio jambo zuri na inaonekana kuna sehemu kuna tatizo...
Ngoja tumsikie Rais atasema nini?Tatizo lipo mkuu japo sijalifuatilia hili jambo kwa kina ila kuna mambo nyuma ya pazia, haiwezekani wauaji watangaze vita na viongozi wa serikali pasi na chanzo.
Aisee...inasikitisha sana. Kuna haja ya kubadili mitaala ya mafunzo huko CCP Moshi.Halafu navosikia jambazi/gaidi alikuwa mmoja na huwa wanauwa askari tu raia hawana habari nao
Siku hizi akina Pogba wanapaka rangi nywele![]()
![]()
![]()
![]()
Siku hizi tunaibiwa jero zetu vibanda umiza
Ushabiki mwingi mpira hakuna
....
Sio gaidi wala mini(magaidi huwa wanapigania maslahi yao)Halafu navosikia jambazi/gaidi alikuwa mmoja na huwa wanauwa askari tu raia hawana habari nao
Hakika maana si kwa udhalilishaji huo wa FFU wetuAisee...inasikitisha sana. Kuna haja ya kubadili mitaala ya mafunzo huko CCP Moshi.
Hi inawezekana pia maana ni viongozi wa serikali na polisi ndio wanawajibishwa na huyu asie julikana ,,,,,Sio gaidi wala mini(magaidi huwa wanapigania maslahi yao)
Raia wamewachoka Polisi
Alikuwa mmoja lkn alijipanga kufanya kitu cha "muhalifu caraja la juu"
..
Ataropoka km kawaida yakeNgoja tumsikie Rais atasema nini?
Hahaha...Ataropoka km kawaida yake
Tutapata neno jipya baada ya roli na sipangiwi cha kufanya
...
Hahaha na lori lake la mkaa anaotuita abiria tumechafukaAtaropoka km kawaida yake
Tutapata neno jipya baada ya roli na sipangiwi cha kufanya
...
Ina onekana huko Mkuranga polisi hawana maelewano na wananchi ndio maana haya yanatokea, maana juzi kati kuna wale wa ushuru wa mkaa walipigwa shaba na watu wakachukua mkaa wakasepa hamna uombolezaji au wasemaji ya kuwa nini kilitokea!!!Tukio la jana mnalizungumziaje wakuu, Polisi 8 kuuwawa kwa mkupuo sio jambo zuri na inaonekana kuna sehemu kuna tatizo...