fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,030
Cool mamen.Cool fakalava
Cool mamen.Cool fakalava
hahaha huyo mlinzi wako katuwekea picha ya hamorapa na yake akasema mrithi wa hamorapa kapatikanaMbona mnamsakama chief inspector


Hao ni Mbao sio Kagera![]()
Bernard keshatupia la 2
Simba tulieni mtapewa point za mezani mechi zote mnazofungwa
.....
LEO WASHABIKI WA SIMBA NA ROMA MNALO NENO![]()
![]()
![]()
![]()
khaaa unataka kuhamia tenaAta kesho sirudiii
ahhahahhahh hajui kama ukipost pic ni mali ya mods![]()
![]()
![]()
mlinzi hajui mateka wake yuko wapi
Yuko busy kutoa ile pic sema ndo ivo haitokiiii
naiangalia hapa huku nimenunaUnaichekiii nn
Kulikuwa hamna haja ya kuita press conference then.....Lakini nilisema toka juzi, hawezi sema ukweli hata iweje!!!
Hakuna asiyependa kuishi ili tu awafurahishe Watanzania, hiyo haipo
Kaka game zote za nyumbani nilazima tuanze na song letu kwa kuongeza mzuka kidogoHebu sing kidogo nyimbo yenu?

I heard bad news kwenye hiyo ishuJingaaa sanaa
Hawana neno, Nasikia wa nasubiri point za mezaniLEO WASHABIKI WA SIMBA NA ROMA MNALO NENO![]()
![]()
![]()
![]()
eb tuambie bas au ni siriI heard bad news kwenye hiyo ishu
Me nakwambia Bongo tukiacha figisufigisu na uchawi mabingwa watakuwa Mbeya city, Mbao, Mtibwa, Jkt ruvu etc.wana bahati wapo mwanza wangekua taifa chupa zingewahusu
mda wote mpira wanatawala mbao
Hahahahahaha huyo mlinzi wako katuwekea picha ya hamorapa na yake akasema mrithi wa hamorapa kapatikana![]()
Huyu ndie mbabe wa Simba, hapa tusahau ubingwa!Wasukuma na Wahaya kwa sifa!!
Wanaume wa Dar kazi ipo
Kumbuka next game v Toto Africans
.....
Analo leooahhahahhahh hajui kama ukipost pic ni mali ya mods
Sasa swty baada ya kupozana kwa yaliyotukumba Leo unachanganya na hasirakhaaa unataka kuhamia tena
usiende bas nitakupa
Inaanza na weweLeo wengi watanyimwa chakula cha usiku.
HahahaKulikuwa hamna haja ya kuita press conference then.....

Mwache anyamaze, ugali mtamu!!!Msameheni bure, kichapo cha siku mbili si mchezo!!