Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Yanayoendelea nchini, Nahisi ndoto ya mtu kutimiaHilo lilikuwa wazi, leo ndo anasema hayuko vizuri kiafya wakati siku anaonekana alituhakikishia yuko poa!!!
Kuwepo wa dodo pale kumeonyesha wazi mchezo mzima, ingawa wao wanafikiri sie ni kina Bashite
