Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Hahahaaa amecheza vizuri sana kwenye hiyo muvi1985 - Barkhad Abdi anazaliwa.
Staa wa filamu kutoka Somalia.
Aling'aa kwenye filamu ya Captain Phillips.
Hahahaaa amecheza vizuri sana kwenye hiyo muvi1985 - Barkhad Abdi anazaliwa.
Staa wa filamu kutoka Somalia.
Aling'aa kwenye filamu ya Captain Phillips.
HBD Vicent, 31yrs imesoma!!!1986 - Vincent Kompany anazaliwa.
Beki wa kati wa Man City na timu ya taifa ya Belgium.
Merci Papaa MussoLeo katka Historia:
Jumatatu njema kwenu.
Uko vizuriAlitupiga changa la macho, hata akiongea hawezi sema la maana!!!
Vigezo na Kanuni kuzingatiwa!!!Km Simba baada ya kutandikwa 2:0 na Kagera Sugar tena mabao ya kideoni halafu anataka kupewa point 3 na magoli 3 ya mezani. Basi na Barcelona pia wapewe maana nao juzi tu wamekung'utwa 2:0 na Malaga maana vipige vyao vinafanane mfano wote wamefungwa goli moja kila kipindi tena ya counter attack yenye ufundi na wote wanashika nafasi ya pili wanahitaji point kwa udi na uvumba wachukue ubingwa
Kweli mpira wa Bongo magumashi bora tushabikie rede maana japo chupi tutaona
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...........
Sikuwahi kufikiria kama Roma ni mpumbavu kiasi hiki naamini sasa alichokiandika nay wa mitegoWaliomteka ROMA nafikiri wamefanikiwa pia kuziteka akili zake
Ameongea pumba tupu
......
Sikuona goli la SimbaVigezo na Kanuni kuzingatiwa!!!![]()
Halafu kwa taarifa yako was 2:1
Keshavuta mpungaSikuwahi kufikiria kama Roma ni mpumbavu kiasi hiki naamini sasa alichokiandika nay wa mitego
Kaandikaje???.....Labda wamefungwa mdomo!Sikuwahi kufikiria kama Roma ni mpumbavu kiasi hiki naamini sasa alichokiandika nay wa mitego
Naona na leo tunachezeaSikuona goli la Simba
![]()
![]()
![]()
![]()
Nilisahau tu alifunga Mudathir Yassin kipindi cha pili
....

ni 31 mkuuHBD Vicent, 29yrs imesoma!!!
hii simba inayocheza utafkili ni simba bMtapewa point za mezani
![]()
![]()
![]()
....
Naona na leo tunachezea![]()
![]()
Sikuona goli la Simba
![]()
![]()
![]()
![]()
Nilisahau tu alifunga Mudathir Yassin kipindi cha pili
....
Shedede bhanaAmina
PoaHabari za mchana Kapuku family?
hii simba inayocheza utafkili ni simba b
mpk hasira jamaan kweli
Lakini nilisema toka juzi, hawezi sema ukweli hata iweje!!!Aliyesema watz wengi malofaa naona aliona mbali wakùu
Roma sisi sio ndondocha