Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,007
- 150,542
Jingaaa sanaaKeshavuta mpunga
......
Jingaaa sanaaKeshavuta mpunga
......
Mimi ni Dar Young African bana, chama langu hilo.acha tu fakalava simba leo wanauzi
we sijui ni yanga sijui n mbao
Nathani wako njianiWenye Simba yao wakaichukue tuu
Na wamefungwa sii kidogo!!!Kaandikaje???.....Labda wamefungwa mdomo!
hivi shedede umemuelewa nikikumbuka kituko alichofanya nacheka [emoji23][emoji23] ujue nilikua sijaview pichaMsameheni bure, kichapo cha siku mbili si mchezo!!
Alianfika kwa mafumbo japo hakumtaja mtu ila kama alikuwa analalamika kinomaaaKaandikaje???.....Labda wamefungwa mdomo!
Je atafikisha 27?
ndio mana huwa hatuelewaniMimi ni Dar Young African bana, chama langu hilo.
Leo kazi ipo roma atuvurugee simba ituvurugeee [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]hii simba inayocheza utafkili ni simba b
mpk hasira jamaan kweli
Polewana bahati wapo mwanza wangekua taifa chupa zingewahusu
mda wote mpira wanatawala mbao
sitakiiiPole
bora huyo RomaLeo kazi ipo roma atuvurugee simba ituvurugeee [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
HahahaMfyuuuu
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Ni mboga za majani ya maharage wakuu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji3]Kaka huwezi jua Dunia uwanja wa vurugu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu Muulize sukari iliwashinda mbao wataiwezea wapiMimi ni Dar Young African bana, chama langu hilo.
Hamna lolote ,,wananchi walikuwa nyuma yake watatisha wangapi kwani au wataua wangapiiHuwezi jua katishwa vipi huko, na inawezekana hata pale yupo mtekaji!!!
Wafanye haraka, mbao wana hasiraNathani wako njiani