Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
What???!I heard bad news kwenye hiyo ishu
UsikondeMkuu send it ...
Mgosi eti ni shemuuu??Me nakwambia Bongo tukiacha figisufigisu na uchawi mabingwa watakuwa Mbeya city, Mbao, Mtibwa, Jkt ruvu etc.
Clkey yuko wapi?Cool mamen.
Wao ndo hawajui kwa sangoma auMe nakwambia Bongo tukiacha figisufigisu na uchawi mabingwa watakuwa Mbeya city, Mbao, Mtibwa, Jkt ruvu etc.
Mmmmh wewe unamjua sura yake ??hahaha huyo mlinzi wako katuwekea picha ya hamorapa na yake akasema mrithi wa hamorapa kapatikana![]()
Nipe verse mojaKaka game zote za nyumbani nilazima tuanze na song letu kwa kuongeza mzuka kidogo![]()
![]()
Ni ishu ya kiintelejensia zaidieb tuambie bas au ni siri
kwan ww n yanga mukongoHuyu ndie mbabe wa Simba, hapa tusahau ubingwa!
hahahha sio ni yy na ile shedede wizzy babyHahaha
Kasema mdogo wake
Hapanakwan ww n yanga mukongo
yaan wwHawana neno, Nasikia wa nasubiri point za mezani
bas baby nimekaa nimefkilia hasira hasaraSasa swty baada ya kupozana kwa yaliyotukumba Leo unachanganya na hasira
Nimeanza kukusoma mkuuNi ishu ya kiintelejensia zaidi
hahhahah mwehu wwUko na nani ???
@![]()
![]()
![]()
najua limekushtua
si ameweka picha ina jina lake la shedede analotumia insta alisahau kucropMmmmh wewe unamjua sura yake ??
hahahha sio ni yy na ile shedede wizzy baby
atasema pia jina sio lake
baby tena ??UmeonaeeMwache anyamaze, ugali mtamu!!!