Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kweli ni kitu kibaya lakini kuna pipo zinastahili kudharauriwa + kutoheshimiwa na pia hazikubaliki refer to Bashite na Lipumba maana wenyewe hazijiheshimu
Ila ni ving'ang'anizi balaa
.....
Binadamu tunawapa watu heshima na tunawadharau kutoka na nafasi zao maishani mwetu


Leo hii magu angekuwa baba yako ingekuwa vigumu mno kutokumkubali..though inawezekana kutokubaliana nae..

Ila nafasi aliyonayo mtu kwako ndio determinant ya namna utakavyo mtreat..

Na ndio maana Jambazi akipigwa na kuuliwa na watu, bado wako watakao mlilia tuu ..

Ukiweza kuwa na roho safi na kumpa mtu kile anachostahili utakiwa shujaa..
 
Binadamu tunawapa watu heshima na tunawadharau kutoka na nafasi zao maishani mwetu


Leo hii magu angekuwa baba yako ingekuwa vigumu mno kutokumkubali..though inawezekana kutokubaliana nae..

Ila nafasi aliyonayo mtu kwako ndio determinant ya namna utakavyo mtreat..

Na ndio maana Jambazi akipigwa na kuuliwa na watu, bado wako watakao mlilia tuu ..

Ukiweza kuwa na roho safi na kumpa mtu kile anachostahili utakiwa shujaa..
 
Kabla hatujalala tujue kilichojiri viwanjani leo
Belgium playoffs
f21ad7785f52242f87733511ec650950.jpg

England EPL
355d85e0a6c6f92c6798654fae8670ef.jpg

Moyes ameshakubali matokeo ya kushuka daraja
Germany Bundesliga
4448e4cde319cab18100bb70fbac7a6b.jpg

Kenya premier League
fc51b297dda0c343e62d9a7f29e46548.jpg
Asante mkuu sikuona update mapema

Epl mambo matamuuuu

Twende sawa wakuu ukiwaacha wale wawili wa juu waende zao..... Basi huku kwenye top four ni pagumu sana kujua nani anabaki na Nani anatoka maana 63, 61, 57 na 54 hizi ni nambari za alama mujarabu kabisa katika vita ya wenyewe kwa wenyewe.

Sunderland ni kama teyari keshakufa ila Bado anasubiriwa Bradley tu kupeleka maua mwisho wa Msimu..... Sijawahi kukata tamaa ila kwa namna wanavyojikongoja Msimu ujao hakutakuwa na EPL pale Stadium of light....... David Moyes the Choosen one naona survival black cat wanafia mikononi mwako mzee.

Pamoja na red card ila Bado Sunderland hakuwa na mawazo ya kumzuia Mourinho kwa ....

Sunderland 0-3 Manchester united

Leo sijui mzee wetu Wenger anamshusha jirani yake ??

Kama kumuua mhindi weekend hii najua braza mwekahazina ulifanya chaguo sio sahihi ...
 
Tupate ratiba ya mechi za leo
VPL
72d4c313038a216c5885a65095d48c4e.jpg

Mbao akimkamkaribisha Simba huku Mtibwa akiwa mwenyeji wa Azam kule Manumbu Turiani
EPL
452e182b18512346aa7e2c607fc73aed.jpg

Je na leo Crystal Palace ataharibu kwa Arsenal kama alivyofanya kwa Chelsea?
LaLiga
aa676dcc0d49a1a343a2ba64aa4f9986.jpg
Ni kweli mzee Wenger anaweza kukumbana na ya mzee wa blues ila kumbuka Chelsea biashara walishafanya mpaka kwenye alama 72 sasa kilichobaki na wanachokifanya kwa sasa ni mahesabu tu..... Walianza na hesabu ya alama +18 na sasa wanaendelea kuhesabu +15 zilizobaki.

Biashara ni hasubuhi na jioni ni mahesabu tu....

Sio mbaya tukamuacha Chelsea auwaze ubingwa uku wengine tukigombea top 4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom